Zanzibar: Kanisa la T.A.G pamoja na makazi ya Mchungaji wake Daudi Suna, yamebomolewa na wanaodaiwa ni wakazi wa eneo hilo

Mbona unaongea Kwa Jazba mkuu 😅
 
Sorry mkubwa hivi unayafahamu makanisa ya TAG namna yanavyendesha ibada zao???
Makanisa ya kilokole haya, kupayuka na miujiza ya kitapeli wakiwinda sadaka
Makanisa ya maana ya kikiristo ni Lutheran, Anglican, sabato na katoliki tu
 
Wao mbona misikiti inajengwa kila kona...tena kwenye makazi ya watu..lkn watu wala hawajali...
Zile kelele za vipaza sauti mbona tunskausha tu
Misikiti ushasikia inatapeli watu kuwa inafufua wafu na kuwajaza watu utajiri?

Misikiti Ina muda wake maalum wa swala, muda ukiisha basi, hao walokole unakuta ni miziki na kupayuka masaa 24

Usilinganishe misikiti na huu ujinga
 
Uhuru wa kuabubu ni takwa la kikatiba hakuna ajuaye dhehebu lipi ni sahihi mbele za Mungu, na iman ni hakika ya mambo yatarajiwayo hivyo tusiwanyoshe vidole wenye imani tofauti na sisi kwa kuwaona kuwa wafanyacho wamepotoka.
Mbona nabii Tito na Zumaridi walikamatwa?
 
Ni
Ni eneo la makazi ya watu,
 
Ila nyie huku bara mnajenga kila sehemu na asubuh mnatupigia kelele zenu na kutukera lakini tunavumila tu. Wakristo mfike mahala mbomoe hizo nyumba za hao wanaoamini kwenye majini wazuri na wabaya.
Ulisikia wapi msikitini wanahubiri kufufua watu na kuwajaza utajiri kwa miujiza?
Ibada za Kiislam Zina muda maalum na zikiisha ni basi, hizo za kilokole ni masaa 24,
 
Mngekuwa mnawaheshimu wakatoriki mngewapiga risasi mapadre wawili? Acha unafiki father mmoja mlimuua kabisa na 1 alipotea chupuchupu
Hao waliofanya hayo walikuwa wahalifu, mapadri wanaheshimika Sana Zanzibar
 
Kwa io uzae watoto bila mpangilio wanaume wengine waje kumlipia ada. Nonsense
 
Ulisikia wapi msikitini wanahubiri kufufua watu na kuwajaza utajiri kwa miujiza?
Ibada za Kiislam Zina muda maalum na zikiisha ni basi, hizo za kilokole ni masaa 24,
Imeandikwa kesheni mkiomba usiku na mchana Kwa maana hamjui siku wala Sana mwana wa adamu Kristo yesu atakaporud duniani kuwakomboa watu wake.
 
Kwa kawaida nyumba za ibada hazijengwi kwenye makazi ya watu! Hata hivyo Kanisa limevunjwa bila kufuata utaratibu.
Harafu upande wa Pili Madhehebu ya Kilokole ambayo yanataja Jina la Yesu ni tishio kwa Majini,kwa hivyo wenye majini hawawezi kuvumilia.
 
Misikiti ushasikia inatapeli watu kuwa inafufua wafu na kuwajaza watu utajiri?

Misikiti Ina muda wake maalum wa swala, muda ukiisha basi, hao walokole unakuta ni miziki na kupayuka masaa 24

Usilinganishe misikiti na huu ujinga
Hujui kuna mashekhe wanaotangaza kutoa utajiri kutumia vtabu na dua mbalimbali zinazoambatana na sadaka za kuchinja na kuvhoma ma udi.
 
Wewe, Kanisa la TAG siyo la kitapeli, naomba ufute huo usemi. Kama huna cha kuposti ni bora ungepita kimya.
 
Mbona misikit inajengwa huko mbeya sasa c kila mtu abaki kwao
 
Hizo ndio sababu za wahusika kumvunjiia au umetunga wewe ?
 
Kwann dini ya kiislamu huwa inaogopa Sana competition ya kiimani. Je ni dhaifu dhidi ya imani zingine?
Maana ni nature imani yeyeto dhaifu huwa inamezwa na imani imara.
Mfano dini za weupe zilikuwa na nguvu zaidi hadi zikazimeza dini za asili.
Ulikuwa ushazaliwa KIPINDI KILE CHA MIHADHARA YA KIDINI KUFANYWA KWENYE VIWANJA VYA WAZI..?!!

Unajua kina nani walikuwa WANALIALIA NA KUSHINIKIZA MIHADHARA ILE IPIGWE MARUFUKU..?!!

Unajua ni KWANINI..?!!

Ulishawahi kuisikia kesi ya HAMISI DIBAGULA aliyefungwa jela kwa kunadi Imani yake..?!!

Unajua ni NANI walikuwa NYUMA YA KESI ile..!?

Halafu unajua kwanini ALIACHIWA HURU bila masharti yeyote..?!!

Unajua ni MAJENGO YEPI yaligeuzwa kwa hiari ya waumini kati ya Makanisa kuwa Misikiti au Misikiti kuwa Makanisa..?!

Unajua ni VIONGOZI wengi wa Imani ipi kati ya Uislam na Ukristo WALIHAMA Imani moja kuingia nyingine..?!

Kama utapata muda tafuta MAJIBU YA HAYO MASWALI MACHACHE hapo juu, ukiyapata RUDI USOME TENA hiyo comment yako!

Ahsante!
 
Ulisikia wapi msikitini wanahubiri kufufua watu na kuwajaza utajiri kwa miujiza?
Ibada za Kiislam Zina muda maalum na zikiisha ni basi, hizo za kilokole ni masaa 24,
Kwanini tupangiane mambo ya kuhubiri au masaa ya kuswali/kusali/kuabudu ili hali kila mtu ana imani yake? Mimi ambaye ni mpagani je huo muda mchache wenu huoni bado ni kero kwangu? Ishu ni moja tu kuwa tuvumiliane au tufunjane basi. Wazungumzia habari za mahubiri ya kufufua watu na kukashifu huku umesahau habari za majini wazuri na wabaya pamoja na kupewa mabikra kadhaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…