Kanye2016
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 2,904
- 3,006
Mbona unaongea Kwa Jazba mkuu 😅Mpumbavu wewe nyie mnavotupigishia kelele na ving'ora vyenu asubuhi mnahubiria mtaa mzima
Watu wengine hovyo kweli. Na usikute eneo hilo hilo watu wanafungulia mziki mkubwa mpaka kero, unakuta eneo hilo hilo kuna disco na maclub ya ujinga. TAG ni kanisa la kiroho sio manabii matapeli