Zanzibar: Kanisa la T.A.G pamoja na makazi ya Mchungaji wake Daudi Suna, yamebomolewa na wanaodaiwa ni wakazi wa eneo hilo

Aione FaizaFoxy Mohamed Said na Ritz je, mna nyongeza?
 
Hahahaha wafia dini sijui mna kichaa gani na dini zenu hizo za kuletewa na wadhungu na waarabu

Mnajifanya mnajua sana dini wkt watoto wa kaka Enu hwn ada,majirani Zenu mwaka wa 10 hamuongei,kanisani majungu,misikiti majungu halafu mpo busy kutetea dini

Aliyewaambia Mungu anapenda unafiki na roho mbaya ,nani??????[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
 
Kwann dini ya kiislamu huwa inaogopa Sana competition ya kiimani. Je ni dhaifu dhidi ya imani zingine?
Maana ni nature imani yeyeto dhaifu huwa inamezwa na imani imara.
Mfano dini za weupe zilikuwa na nguvu zaidi hadi zikazimeza dini za asili.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ kwa ukikaa na wenzako ndo mnavyodanganyana............ kimsingi ni kwamba habari haijakamilika .....sidhani kama inawezekana tu watu wajichukulie maamuzi ya kuvunja kanisa......
 
Nitajie kanisa lililowahi kujengwa na Yesu japo moja tu.
Kwakuwa umeuliza huku dhamira yako ikiwa tofauti moyoni mwako acha nikuelekeze kidogo.

Matayo 16:18-19

18 β€œNami nakuambia, wewe ni Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu ambalo hata nguvu za kuzimu haziwezi kulishinda. 19 Nitakupa funguo za Ufalme wa mbinguni na lo lo te utakalolifunga duniani litakuwa limefungwa mbinguni na lo lote utakalofungua duniani litakuwa limefunguliwa mbinguni.”

Hili ni Agizo lake Yesu kwa Petro Na Sasa Jukumu la Petro juu ya mitume 12 linaonekana wazi mbeleni na hapo ndipo mwanzo wa kujengwa kwa Makanisa. Swali lingine...​

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ kwa ukikaa na wenzako ndo mnavyodanganyana............ kimsingi ni kwamba habari haijakamilika .....sidhani kama inawezekana tu watu wajichukulie maamuzi ya kuvunja kanisa......
Basi saidia umma kwa Kuikamilisha.
 
Uamsho Zanzibar wamerudi kazini baada ya mashehe wa uamsho kuachiwa labda
 
HUITAJI KUMPA MTU BANGI AU COCAINE AWE SOBBER ILI UMTAWALE, thats why Marx akasema
Religion is an Opium of the People
Mmebaki kuchinjana kwa Alshaaabab, Boko Haram, Ant Baraka nk nk kwa kwa Opium ya Kuran na Biblia. Tuna laaaana sisi ngozi nyeusi
 
Kwann dini ya kiislamu huwa inaogopa Sana competition ya kiimani. Je ni dhaifu dhidi ya imani zingine?
Maana ni nature imani yeyeto dhaifu huwa inamezwa na imani imara.
Mfano dini za weupe zilikuwa na nguvu zaidi hadi zikazimeza dini za asili.
Issue ni kwamba ni waoga .Wanahisi wakiruhu uhuru watu wakijua ukweli wa upande wa pili watahama .Hivyo huwa wanaforce watu wasisikilize upande wa pili

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ kwa ukikaa na wenzako ndo mnavyodanganyana............ kimsingi ni kwamba habari haijakamilika .....sidhani kama inawezekana tu watu wajichukulie maamuzi ya kuvunja kanisa......
Kwani ni jipya hili huko visiwani?
 
Mm Ni mkiristo sioni sababu huyo mtumishi kwenda kufanya ujenzi ktk maeneo ya wanao ishi waislmu yaani unakwenda uarabuni kufungua kanisa hapan aise. usijaribu Imani za watu haondoke Hapo kbsa Tena ashukuru ajapigwa kipigo kikali mnk hvyo yey ndie mchokozi ..watu wasitafute usaw wa kidini hapa
Kenya umewahi sikia muslami kaw rais au hata kiongoz mkuu hkn hvyo vitu sas na huku iwe Hvyo uwez kwenda kufanya ibada Zanzibar Tena siku hz wamestarabika zamani waliwamwagia tindikali .....
 
Habari haijakamilika hii isije ikawa kanisa la kukanyagana kama yule mama
Makanisa ya ajabu yanaibuka kila kukicha
Hebu andika kinachoendelea
 
Kwann dini ya kiislamu huwa inaogopa Sana competition ya kiimani. Je ni dhaifu dhidi ya imani zingine?
Maana ni nature imani yeyeto dhaifu huwa inamezwa na imani imara.
Mfano dini za weupe zilikuwa na nguvu zaidi hadi zikazimeza dini za asili.
umeongea uongo mzeee
 
Issue ni kwamba ni waoga .Wanahisi wakiruhu uhuru watu wakijua ukweli wa upande wa pili watahama .Hivyo huwa wanaforce watu wasisikilize upande wa pili

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Adhabu ya kuuacha uislamu ni kifo.So wengi wamelazimishwa kuwa si kwa hiari bali kwa lazima uwe unataka utakuwa uwe hautaki utakuwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…