Zanzibar kuendelea kunufaika na karafuu ya Morogoro, wakatazwa isiuzwe kwa ushindani, Waziri wa Kilimo, viwanda SMZ yuko Morogoro leo

Kashfa ya Karafuu inanukia.

Mkuu hebu tuwekee nyama zaidi na facts za kuthibitisha tuweze kuongeza agenda za kuikataa CCM
Subiri Leo utaona Ziara ya huyo Waziri wa Kilimo, Viwanda na Biashara wa Zanzibar.
 
Karafuu ya Morogoro usiifananishe na karafuu ya Pemba. Its about quality.
Kuna nchi nyingi zinazalisha karafuu duniani, lakini Zanzibar ni number one by quality.
Sasa kama ni namba one wanang'ang'ania ya Morogoro kwa lipi?
 
Karafuu ya Morogoro usiifananishe na karafuu ya Pemba. Its about quality.
Kuna nchi nyingi zinazalisha karafuu duniani, lakini Zanzibar ni number one by quality.

Hiyo quality inatokana na nini na umeipima vipi?
 
Tatizo lenu mnaitegemea serikali kwa kila kitu! Hata chama cha ushirika mnataka serikali iwaanzishie. Katika dunia ya leo ya mtandao, tafuteni soko wenyewe. Jipangeni ili mjijengee barabara maana itawafaa sana.

Amandla...
 
Wacha uwongo.mjinga mmoja wewe! Karafu ya morogoro inauzwa Kenya. Na chengine naona unazubgumzia vitu huvijui. Taasisi inayoshubulikia karafuu ni ZSTC ambayo.ikonchini ya wizara ya biashara ya znz na siyo.kilimo.
Rudi tena kajipange ulete uchongani mwengine.
 
Tatizo lenu mnaitegemea serikali kwa kila kitu! Hata chama cha ushirika mnataka serikali iwaanzishie. Katika dunia ya leo ya mtandao, tafuteni soko wenyewe. Jipangeni ili mjijengee barabara maana itawafaa sana.

Amandla...
Wewe unaonekana unajua sana. Hiyo barabara ya Km 4 wamejenga wao wenyewe, mazingira ni ya Milima kwahiyo unaitaji maboresho ya kiufundi. Karafuu na Vannila sio mahindi unauza kwa kila mtu, either iende Kenya, Mauritius, Indonesia,China, India, France au Holland nchi zinazodili na Spice Foodstaff, na dawa za meno. Ili usafirishe karafuu au Vannila lazima u- meet international standard katika kuzikausha na perking. Lazima uwe na mnyololo wa kuchuma - kuchambua - kukausha - kuifadhi - Kusafirisha - Soko la Wakati.Ukikosea hapo kwenye mnyololo Zinakua uchafu Sokoni. Ndio maana Zanzibar serikali inasimamia kila kitu, maana mkulima hawezi. Ushirika wananchi wameshajisajiri kazi ni kwa viongozi kutimiza walichohaidi.
 
lete data zinazoonyesha Morogoro inazalisha karafuu nyingi kuliko Zanzibar
 
Mkuu hongera sana nmekuelewa vzr ila kwa utandawazi huu mmekwama hata nyie wenyewe kujikusanya na kuweka miundombinu Rafiki kama sehemu Safi za kuchambulia na kadhalika adi kuisubiri serikali ambayo ipo bize kuuza bandari
 
Mkuu umemwaga madini muhimu, natamani kuingia kwenye hiki kilimo naomba nije pm kwa maongezi zaidi.
Aliyosema ni kweli kabisa, nimeenda chama cha ushirika wa kilimo cha mazao ya viungo kinole, aiseee kule pana kila kitu, hali ya hewa nzuri mvua na manyunyu muda wote, wanalima viungo vyote
 
Wewe ni Waziri au mchepuko wa Waziri?
 
Brother unaelewa unachofanya sababu wewe ni mkulima. Hawa wadangaji wasiojua kuhusu Kilimo waache waendelee kuhangaika na kutoelewa kwao.
 
Mkuu hongera sana nmekuelewa vzr ila kwa utandawazi huu mmekwama hata nyie wenyewe kujikusanya na kuweka miundombinu Rafiki kama sehemu Safi za kuchambulia na kadhalika adi kuisubiri serikali ambayo ipo bize kuuza bandari
Morogoro ina vitu vizuri lakini kitu kinaitwa Economic lobbying hakuna. Ushawishi uku upo kwa wanasiasa tu, ila wananchi wenyewe hatuwezi. Mwanasiasa akisikia una kikundi chenye nguvu ya kwa ajiri ya Maendeleo na yeye mwanasiasa hana nafasi katika iko kikundi basi atapambana akiue, au umuingize ili apige siasa, na mchelewe chelewe. Ila tutafika tu.
 
Wewe uliyofika ndio unakuwa shuhuda mzuri.

Hongera sana
Aliyosema ni kweli kabisa, nimeenda chama cha ushirika wa kilimo cha mazao ya viungo kinole, aiseee kule pana kila kitu, hali ya hewa nzuri mvua na manyunyu muda wote, wanalima viungo vyote
U
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…