Zanzibar kufuta mitihani ya Taifa na kuwa na Mfumo Mpya wa Elimu

Zanzibar kufuta mitihani ya Taifa na kuwa na Mfumo Mpya wa Elimu

Oooh hodari sana wewe. Kusoma kwako kumeisaidia nini jamii inayokuzunguka?
Jumuia yangu ya Tanzania inajua niliyofanya. Jumuia ya Ununio Dar inajua nayofanya hivyo usidandie usiyo yajuwa. Bila mitihani viwango vya elimu vitashuka.

Hata mimi kufanya vizuri form 6 ndiyo imenipa visa sasa ningepata zero njia ya kuja ni kama za ndugu zetu ukimbizi na kuzamia
 
Huna lolote zaidi ya kujitapa, wanaofanya kweli hawasemi "nimefanya nafanya" tunayaona wanayoyafanya au waliyoyafanya.
 
Huna lolote zaidi ya kujitapa, wanaofanya kweli hawasemi "nimefanya nafanya" tunayaona wanayoyafanya au waliyoyafanya.

Wewe ndiyo umeniuliza nimefanya nini! Nisingejibu ungesema nimejibu umesema! Kwanini umemiuliza wakati mjadala ni wa elimu! Mimi tayari na elimu hapa tunapigania watoto wetu!.
 
Kuna watu wanaona ni sawa tu watoto wetu hasa wa kike badala ya kusoma waolewe wakiwa wadogo badala ya kusoma. Kuna elimu gani dunia hii bila mitihani 🤔
 
Wewe ndiyo umeniuliza nimefanya nini! Nisingejibu ungesema nimejibu umesema! Kwanini umemiuliza wakati mjadala ni wa elimu! Mimi tayari na elimu hapa tunapigania watoto wetu!.
Wewe shule ulienda kusomea ujinga. Hujaelimika.
 
Mitihani ni utumwa mwanafunzi anakuwa hasomi kwa ajili ya kuelewa ila kwa ajili ya kufanya mtihani tumetengeneza taifa lenye Madaraja Makubwa ya kitaaluma yasiyo na tija kwa muda mrefu...

Unakuta mtu ana A ya Physics olevel na advance ila hajui kufanya hata Wiring na muoga wa umeme wakati enzi za mwalimu mtu kama huyo anatakiwa awe amajiriwa TANESCO au Sehemu anapga engeneer

Sasa inatosha!

Wiring tu! Wengine kushika spanner tu mtihani, yeye na kikatatasi chake na kupiga kiwi moka zake hapo anawaza kuwa waziri
 
Kwa "ratio" yoyote utakayotumia, kwa idadi ya watu (population) ya Zanzibar na Tanganyika utakuta Wazanzibari wametuzidi sana kwa wasomi.
 
Back
Top Bottom