Jumuia yangu ya Tanzania inajua niliyofanya. Jumuia ya Ununio Dar inajua nayofanya hivyo usidandie usiyo yajuwa. Bila mitihani viwango vya elimu vitashuka.Oooh hodari sana wewe. Kusoma kwako kumeisaidia nini jamii inayokuzunguka?
Huna lolote zaidi ya kujitapa, wanaofanya kweli hawasemi "nimefanya nafanya" tunayaona wanayoyafanya au waliyoyafanya.Jumuia yangu ya Tanzania inajua niliyofanya. Jumuia ya Ununio Dar inajua nayofanya hivyo usidandie usiyo yajuwa. Bila mitihani viwango vya elimu vitashuka.
Hata mimi kufanya vizuri form 6 ndiyo imenipa visa sasa ningepata zero njia ya kuja ni kama za ndugu zetu ukimbizi na kuzamia
Huna lolote zaidi ya kujitapa, wanaofanya kweli hawasemi "nimefanya nafanya" tunayaona wanayoyafanya au waliyoyafanya.
Duuhwanafunzi wa Zanzibar ni vilaza sana,tangu kuanzishwa kwa benki kuu, deputy govenor alipaswa awe Mzazibari mwenye PhD ya finance,hawakuwa nae for more than 30 years hadi alipopatikana Juma Reli.
Kwenye elimu ya darasani, Wazanzibari ni vilaza sana, shuhudia hapa Inawezekana Vipi Zanzibar Kuna Div I, Div II, na Div III Chache, Ila Div IV na Div Zero Nyingi?!. hivyo kwenye elimu ya juu, wanapewa kwa mserereko wa quota ya 4.5% percentage .
P
Nafasi za Tanganyika zipo wapi?Kuna Tanzania na Zanzibar, hakuna Tanganyika. Hivyo Wazanzibari wanastahili nafasi stahiki kama Watanzania wengine wote, kisha wao wana nafasi za ziada za asilimia 4.6% kama Wazanzibari.
P
Kiswahili na kiarabuNa lugha ya kufundishia iwe kiswahili tafadhali
Mitihani ni utumwa mwanafunzi anakuwa hasomi kwa ajili ya kuelewa ila kwa ajili ya kufanya mtihani tumetengeneza taifa lenye Madaraja Makubwa ya kitaaluma yasiyo na tija kwa muda mrefu...
Unakuta mtu ana A ya Physics olevel na advance ila hajui kufanya hata Wiring na muoga wa umeme wakati enzi za mwalimu mtu kama huyo anatakiwa awe amajiriwa TANESCO au Sehemu anapga engeneer
Sasa inatosha!
Hakuna Tanganyika, wala nafasi za Tanganyika.Nafasi za Tanganyika zipo wapi?