ALPHRED MAHUNJA
JF-Expert Member
- Aug 30, 2013
- 308
- 160
Lakini nyie siyo wabunge wa bunge la katiba. Majukumu haya tumewapa wabunge sasa hilo la kuvunja muungano linafuata nini wakati hoja ya nchi kwa sasa ni serikali tatu au mbili?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi wasubiri kudogo Tanganyika ianze kujiunga na Ujerumani kama zamani, kisha naye iende Dubei
Waaleykum Salaam.
Mnapenda sana Dezo. Mtakufa mkisubiri dezo. Go and work.
Natamani uvunjike na tuone kama wa Zanzibari watakufa kwa kukosa viazi ulaya.
Nashukuru dada yng!
Sorry dada yng! Una nasaba ya Z'bar?
Hapana sina nasaba na Zanzibar hata chembe ila nna marafiki na nnafahamiana na Wazanzibari wengi sana kutokana ukaribu tulio nao watu wa Pwani, kwetu ni Dar na asili yangu ni Kisiju na Mkuranga, kijiji kinachoitwa Shungubweni.
Hutembelea sana Unguja na Pemba, nna marafiki wengi sana huko, wengine ni marafiki tulio pamoja tangu utotoni mpaka sasa tunalea vijukuu, nashkuru tumeishi kama ndugu au zaidi ya ndugu, shida yangu shida yao furaha yangu furaha yao.
Kwanini umeuliza hivyo?
Nilipenda tu kutaka kufahamu! Vizuri sn! Ata Mimi pia nimekaa Unguja sn tu!
Vp maoni yako juu ya Muungano hasa ktk kipindi hiki kumekua na misimamo tofauti ya viongozi Na wanasiasi?
Binafsi Mimi ktk hili sina hoja nikimaanisha kwamba sina upande!
Wazenji wanataka dezo. Wanafikiri kule Umangani kutakuwa kwao. Asalas. Dunia inaungana lakini WaTZ wanatengana.
Huu muungano sisi watu wa pwani na hususan tuliokuwepo kabla ya huu unaoitwa muungano tunashangaa sana.
Kabla ya huu muungano wa kulamishana uliofanywa na Nyerere na Karume tulikuwa na muungano wa asili ambao hauna mkataba wala hauna maneno. Huu muungano wa Nyerere na Karume umeleta mfarakano zaidi ya faida kwa pande zote mbili.
Mimi natamani usiwepo na ibaki kama zamani.
Vizuri dada yng!
Umesema unatamani usiwepo! Nini msimo wako ktk kurekebisha huu Muungano, je ungependa serikali ngapi? Mbili? Tatu? Au moja? Maana nionavyo Sizani km watawala wako tayari kuona Muungano unavunjika!
Kwa hayo, wataloamuwa watawala mimi ntalikubali, ningependelea zaidi amma uwe wa Serikali mbili na mkataba, yaani Serikali ya Tanganyika na Serikali ya Zanzibar zilizo huru na mamlaka kamili ya mambo ya ndani na nje, na mkataba wa muungano katika yale mambo ambayo pande zote mbili wako tayari kuungana na kushirikiana bila matatizo wala manung'uniko.
Hapana sina nasaba na Zanzibar hata chembe ila nna marafiki na nnafahamiana na Wazanzibari wengi sana kutokana ukaribu tulio nao watu wa Pwani, kwetu ni Dar na asili yangu ni Kisiju na Mkuranga, kijiji kinachoitwa Shungubweni.
Hutembelea sana Unguja na Pemba, nna marafiki wengi sana huko, wengine ni marafiki tulio pamoja tangu utotoni mpaka sasa tunalea vijukuu, nashkuru tumeishi kama ndugu au zaidi ya ndugu, shida yangu shida yao furaha yangu furaha yao.
Kwanini umeuliza hivyo?
Rudi tu kwenu mama.., tena uwahi kabla ka-ndoa hakajavunjika.., maana ukichelewa itakuwa ni mchaka mchaka pale Azam Marine.., lol...!!!
Nipo kwetu burdan wa sharaba.
Sijawahi kupanda hiyo Azam marine hata siku moja, nikitembelea Unguja au Pemba nnaruka.
Huu muungano sisi watu wa pwani na hususan tuliokuwepo kabla ya huu unaoitwa muungano tunashangaa sana.
Kabla ya huu muungano wa kulazimishana uliofanywa na Nyerere na Karume tulikuwa na muungano wa asili ambao hauna mkataba wala hauna maneno. Huu muungano wa Nyerere na Karume umeleta mfarakano zaidi ya faida kwa pande zote mbili.
Mimi natamani usiwepo na ibaki kama zamani.
sana sana tutakosa UROJO tuu