Simple, wajitoe kwenye muungano kama kwa wazanzibari OIC ni muhimu kuliko muungano na kuna maslahi zaidi bora waende...Zanzibar asilimia 99 ni Waislamu, na wanapenda kuwa wanachama wa OIC. Sasa kwanini Tanganyika iwazuie.
..Mimi ni Mtanganyika na sioni shida kama Tanzania ikijiunga na OIC ili kutimiza ndoto ya ndugu zetu wa Zanzibar.
Kwa nini tusigine katiba? Nimekuuliza nini dhamira ya OIC na jamhuri ya muungano ya Tanzania inafit hapo? Na inayojiunga ni nchi au hata kakikuni tu? kama ni nchi haiwezekani , tatizo umejaa hisia badala ya uhalisia. Kutimiza ndoto kwa kuvunja katiba?