Zanzibar kujiunga OIC ni lazima, si la Mzee wa CHADEMA tu. Dr. Salmin Amour alipokuwa Rais alishalipitisha na kugonga Mhuri. Muda utaongea

..Zanzibar asilimia 99 ni Waislamu, na wanapenda kuwa wanachama wa OIC. Sasa kwanini Tanganyika iwazuie.

..Mimi ni Mtanganyika na sioni shida kama Tanzania ikijiunga na OIC ili kutimiza ndoto ya ndugu zetu wa Zanzibar.
Simple, wajitoe kwenye muungano kama kwa wazanzibari OIC ni muhimu kuliko muungano na kuna maslahi zaidi bora waende.

Kwa nini tusigine katiba? Nimekuuliza nini dhamira ya OIC na jamhuri ya muungano ya Tanzania inafit hapo? Na inayojiunga ni nchi au hata kakikuni tu? kama ni nchi haiwezekani , tatizo umejaa hisia badala ya uhalisia. Kutimiza ndoto kwa kuvunja katiba?
 
Huyo Paschal Mayalla ndio mmoja wa watakaokuwa wazee wa hovyo wa CCM, hawataki kusema kweli CCM inapokosea. Hawezi kutamka katiba ina mapungufu na huu ndio wakati sahihi wa kuandika katiba mpya kwa ustawi wa Tanzania.

Kama akina Wassira mzee wa hovyo, akina Makamba watatetea na kuipamba CCM na kuwakosoa wapinzani
 
Atakuwa pro CCM huko ndiko kuna majuha wa aiba hii
 

..Zanzibar haiwezi kujiunga peke yake, tukijiunga kama Tanzania hatutakuwa tumevunja katiba.
 
..Zanzibar haiwezi kujiunga peke yake, tukijiunga kama Tanzania hatutakuwa tumevunja katiba.
Na kwa nini Tanzania kama nchi ambayo haifuati misingi ya dini yeyote ijiunge na jumuia ya kidini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…