Zanzibar kukodisha/kuuza visiwa vyake: Iko vipi?

Zanzibar kukodisha/kuuza visiwa vyake: Iko vipi?

Kama vinakodishwa ni sawa tu kwani kuna visiwa havina hata watu au utakuta wavuvi wanapumzikia tu

Kama kuna fursa ni sawa
Caribbeans wameuza visiwa vingi sana kwa wasanii wa USA
Sisi kama tunakodisha sio vibaya
 
Back
Top Bottom