Zanzibar kukodisha/kuuza visiwa vyake: Iko vipi?

Sio kuuza wamesema ni kukodisha, Mbona huko tanganyika mama anapiga makelele wawekezaje waje watapewa maeneo na kenda mbali zaidi kasema vibali wasicheleweshwe wapewe haraka haraka wale maofisa vibali waondoe urasimu., amefika mpaka jumuiya za kimataifa huko kuwaomba wawekezaji? Ulitaka Zanzibar wakodishe nini? Mavuzzi?

Tanganyika siku zote muna wivu wa Zanzibar kupiga hatua za kimaendeleo ndio mana mnaishikilia kila ikitaka kupiga hatua mnaleta maneno ya jikoni jikoni., piriad.,

Salmini kakodisha visiwa ni lipi kilichoifanya nchi kuendelea ? Huu ni ujinga wa mwisho Na hizo pesa labda zitawasaidia majeshi kuwaweka wao madarakani
 
Kwani uwanja wa ndege wa chato unawasaidia nini Tanganyika?

Zile ndege 8 mulizonunua ambazo mpaka leo bajet yake haikuonekana lakini Ndege zilitakiwa kuruka kimataifa zinarukia ndani zinawasaidia nini tanganyika? Je mumeacha kusaka mlo 1 wa chakula kwa siku nzima?
 
Habari zimetapakaa kuwa Zanzibar inauza visiwa vingine 9 mwaka huu, baada ya mwaka jana kuuza 10 kwa thamani ya $ 261.5 milioni! Kuna utatanishi ikiwa visiwa hivyo vinauzwa au vinakodishwa, kiasi wana habari wametumia istilahi zote mbili hizo. Wakuu wanasema wanakodisha. Kwa uzoefu wangu, napenda sana kuwaamini watu wa nje wanapozungumzia mambo nyeti ya Tanzania kuliko wakuu wa Tanzania. Wakuu wengi wa Tanzania aidha huona uongo ni 'halali' au hawaoni kuna umuhimu wa kuwaeleza Watanzania ukweli: kwa vile, anyway, sisi ni mazuzu tu! Hiyo ni ikiwa wataamua kutueleza. Mara nyingi hawaoni hata haja ya kufanya hivyo!
1- Jee, jambo hili lilijadiliwa na wananchi, kabla ya wakuu fulani tu kufanya uamuzi?
2- Pesa zinazopatikana katika mauzo hayo zimepangiwa nini? Hizo $261.5 zimetumiwa katika nini?
3- Mara nyingi mwekaji -hasa Mzungu- anaponunua kitu, hataki 'wenyeji' wafike hapo, labda kwa kazi za kukata majani na kufagia tu.... Siku hizi wamegundua njia bora zaidi ya kuwazuia 'wenyeji' : wanaweka bei za kutisha ambazo wanajua 'mwenyeji' hata akiwa nazo, hathubutu!

Mkuu wa ZIPA amewaambia Wazungu, bei ya kisiwa inaanza dola milioni moja hadi milioni 75, tegemeana na ukubwa wake. Visiwa hivyo ni Miwi, Popo (hekta 450,Sumi 3.5 ha, Kwata 6.7 ha, Njao 470 ha, Kashani 31.8ha, Jombe 76 ha, Mtambini 200 ha na Fumbo 37 ha

Bill gates, tajiri namba nne duniani mwenye fedha 136.1 b ameshanunua Kisiwa cha Mnemba, Kisiwa kikubwa zaidi ya hivyo. Anachaji dola 2,000 kwa siku na wasiokuwa wageni hawaruhusiwi kutia mguu huko! Pia sehemu inayomzunguka kwa mita 200 ni marufuku mtu kupita huko. Inaitwa 'exclusion zone'!

Kuuza ardhi au kukodisha kumeenea sana nchi za Ghuba kama UAE (Dubai). Pengine wakuu wetu wanataka kuiga huko. Lakini wenzetu huko huuza jangwa tena kwa masharti magumu. Pia kwa vile wananchi wao wana uwezo mkubwa utakuta nao wamenunua bega kwa bega na wageni. Hapa kwetu si hivyo. Twawauzia visiwa nusu ya Pepo! Tena hakuna namna yeyote mwenyeji ataweza ku enjoy huko. Sehemu hizi zinazouzwa ni za urithi wa mazingira na hawa wanakwenda kuchafua (wakuu watakwambia tumewaambia wasichafue!).

Swali ni hili: Hivi akili zenu zote hamkuweza kupata vyanzo vingine vya fedha isipokuwa kuuza urithi wetu? Lini watoto wetu watakuja kuviona visiwa hivi katika hali ile ile walioviacha babu zetu?

Na mnataka kufanya nini na pesa hizo? Nasikia wanataka kujenga hoteli moja iitwayo DOMINO itakayokuwa ya pili kwa urefu katika Afrika!
Doh!! Zimbambwe ileeee
 
Una uhakika kama ni miaka 33 na si 99? hapo ndipo watu wanapoanza kuhoji.
Wewe unataka uhakika uupate kutoka kwa nani???

Nimesema hivi ndugu hebu nielewe: muwekezaji atakodi hivyo kwa muda usiopungua miaka 33 na usiozidi miaka 99.

Yaani mtu anaweza akakodishwa kwa miaka 33 tu ikawa basi sheik
 
Mzee Karume
Karume Jr
Mansour Himid
Dr Shein na Genge lake, Kuanzia Dr Khalid, Balozi Seif, Mohammed Aboud, Haji Kheri, Omar Yussuf.
Uliwahi kuwasikia akina Omar King? Abiola?
Hivi yule mkurugenzi wa ZSSF bi Sabra alisimamishwa kazi kwa shutuma gani?
Na sasa ni zamu ya Mwinyi Family.

SMZ wamekua wakipiga billions of Money kwa miaka mingi sana.
Mall la Michenzani wamepiga mabilions, Meli ya Mapinduzi wamepiga mabillions, Mnara wa Michenzania wamepiga ma billions, Majumba yake ya Kwahani nio hayo hayo, Uwanja wa ndege ndio hayo hayo.

Kuendelea kuwaamini CCM kwa chochote kile ni Uwendawazimu
Kitaalamu kabisa hizi zinabaki ni tetesi tu mkuu na maneno.

Hakuna yoyote kati ya hao aliethibitishwa na tuma hizo. Anyway sitaki kwenda kuibadilisha hii mada na kuanza kujadili watu.
 
Habari zimetapakaa kuwa Zanzibar inauza visiwa vingine 9 mwaka huu, baada ya mwaka jana kuuza 10 kwa thamani ya $ 261.5 milioni! Kuna utatanishi ikiwa visiwa hivyo vinauzwa au vinakodishwa, kiasi wana habari wametumia istilahi zote mbili hizo. Wakuu wanasema wanakodisha. Kwa uzoefu wangu, napenda sana kuwaamini watu wa nje wanapozungumzia mambo nyeti ya Tanzania kuliko wakuu wa Tanzania. Wakuu wengi wa Tanzania aidha huona uongo ni 'halali' au hawaoni kuna umuhimu wa kuwaeleza Watanzania ukweli: kwa vile, anyway, sisi ni mazuzu tu! Hiyo ni ikiwa wataamua kutueleza. Mara nyingi hawaoni hata haja ya kufanya hivyo!
1- Jee, jambo hili lilijadiliwa na wananchi, kabla ya wakuu fulani tu kufanya uamuzi?
2- Pesa zinazopatikana katika mauzo hayo zimepangiwa nini? Hizo $261.5 zimetumiwa katika nini?
3- Mara nyingi mwekaji -hasa Mzungu- anaponunua kitu, hataki 'wenyeji' wafike hapo, labda kwa kazi za kukata majani na kufagia tu.... Siku hizi wamegundua njia bora zaidi ya kuwazuia 'wenyeji' : wanaweka bei za kutisha ambazo wanajua 'mwenyeji' hata akiwa nazo, hathubutu!

Mkuu wa ZIPA amewaambia Wazungu, bei ya kisiwa inaanza dola milioni moja hadi milioni 75, tegemeana na ukubwa wake. Visiwa hivyo ni Miwi, Popo (hekta 450,Sumi 3.5 ha, Kwata 6.7 ha, Njao 470 ha, Kashani 31.8ha, Jombe 76 ha, Mtambini 200 ha na Fumbo 37 ha

Bill gates, tajiri namba nne duniani mwenye fedha 136.1 b ameshanunua Kisiwa cha Mnemba, Kisiwa kikubwa zaidi ya hivyo. Anachaji dola 2,000 kwa siku na wasiokuwa wageni hawaruhusiwi kutia mguu huko! Pia sehemu inayomzunguka kwa mita 200 ni marufuku mtu kupita huko. Inaitwa 'exclusion zone'!

Kuuza ardhi au kukodisha kumeenea sana nchi za Ghuba kama UAE (Dubai). Pengine wakuu wetu wanataka kuiga huko. Lakini wenzetu huko huuza jangwa tena kwa masharti magumu. Pia kwa vile wananchi wao wana uwezo mkubwa utakuta nao wamenunua bega kwa bega na wageni. Hapa kwetu si hivyo. Twawauzia visiwa nusu ya Pepo! Tena hakuna namna yeyote mwenyeji ataweza ku enjoy huko. Sehemu hizi zinazouzwa ni za urithi wa mazingira na hawa wanakwenda kuchafua (wakuu watakwambia tumewaambia wasichafue!).

Swali ni hili: Hivi akili zenu zote hamkuweza kupata vyanzo vingine vya fedha isipokuwa kuuza urithi wetu? Lini watoto wetu watakuja kuviona visiwa hivi katika hali ile ile walioviacha babu zetu?

Na mnataka kufanya nini na pesa hizo? Nasikia wanataka kujenga hoteli moja iitwayo DOMINO itakayokuwa ya pili kwa urefu katika Afrika!
Myinyi
 
Wewe unajua Zanzibar hakuna vyanzo vingine vya mapato? Je unajua hayo mapato mengine yametumikaje Hadi uhoji haya ya kukodisha visiwa tuu? Ebu tueleze mapato mengine yametumikaje Hadi huoni hayo ya kukodisha visiwa yalivyotumika.

Nyie Wazanzibari mgekuwa mmekomaa hata hizo Fedha za kukodisha/kuuza hivyo visiwa msingezihitaji!! Hela ambayo mgekuwa mnaipata kutokana na watalii wanaoingia hapo toka South Africa na Italia ingekidhi mahitaji yenu na kusaza. Kwa Bahati Mbaya sana Viongozi wenu sio waadilifu Kwani wanashirikiana na hao wazungu kuwaibia fedha zenu za utalii!! Hawa watalii wanalipa fedha huko huko kwao kabla ya kuja hapo visiwani; kila Kitu wanachotumia hapo Zanzibar kimelipiwa huko huko kwao!! Wakija huko matumizi yao yanakuwa ni kidogo sana!!

Hawa vigogo wanagawana na hao wazungu hizo fedha na wanawekeza huko huko nje; nyie mnalia lia tu!
 
Kwani uwanja wa ndege wa chato unawasaidia nini Tanganyika?

Zile ndege 8 mulizonunua ambazo mpaka leo bajet yake haikuonekana lakini Ndege zilitakiwa kuruka kimataifa zinarukia ndani zinawasaidia nini tanganyika? Je mumeacha kusaka mlo 1 wa chakula kwa siku nzima?
Uwanja wa Chato hajauziwa mzungu wala ndege hajapewa mwarabu. Visiwa vyengine wanakaa watu ndio vinapelekwa arijojo.
 
Sasa tofauti iko wapi dadaako akiliwa na mswahili au mzungu,

Muarabu na mzungu ndio wanaoendesha maisha yenu vile vile tanganyika kumbuka vizuri mushaenda mara ngapi Oman na mukavaa mabaibui ya kamba ili muonekane waislamu na watu wenye heshima na mabakuli ya omba omba lakini hangaya breki ya mwanzo alitua kwa wazungu pia kuomba omba., kwanini sasa na wazungu na waarabu si watu, mliwaita mabeberu

Lete mkataba hapa tuone visiwa kauziwa mzungu

Lakini kwanini unawashwa na pilipili wakati kwenu ni tanganyika na maisha yenu 65% yanaendeshwa ni kodi za wazanzibari kupitia TRA?
 
Ujinga uliopitiliza. Huo mchakato ulifanyika lini? Nani waliamua hayo na kwa manufaa gani?
IACHENI ZANZIBAR INAWIRI NA KUPENDEZA ILI IENDANE NA MATAIFA MENGINE NA JINSI ULIMWENGU UENDAVYO,TUITEGEMEE DUBAI INGINE MUDA USIO MREFU.
 
Ile kauli ya kupigwa mnada ya masta Ndugai isije kuwa kweli tu jamani.

Ibakie tu kwamba vinakodishwa na tusiwape wageni ardhi yetu.
Kuna siku kauli ya Ndugai itaonekana ni ya kizalendo...isipokuwa kutoka hadharani na kuikana kutamsuta...Nimekosa mimi, nimekosa sana.
 
"Wapo watu wanamawazo kana kwamba wataishi milele"-tumechelewa sana ni wakati wa kukimbia sasa.
 
Sasa tofauti iko wapi dadaako akiliwa na mswahili au mzungu,

Muarabu na mzungu ndio wanaoendesha maisha yenu vile vile tanganyika kumbuka vizuri mushaenda mara ngapi Oman na mukavaa mabaibui ya kamba ili muonekane waislamu na watu wenye heshima na mabakuli ya omba omba lakini hangaya breki ya mwanzo alitua kwa wazungu pia kuomba omba., kwanini sasa na wazungu na waarabu si watu, mliwaita mabeberu

Lete mkataba hapa tuone visiwa kauziwa mzungu

Lakini kwanini unawashwa na pilipili wakati kwenu ni tanganyika na maisha yenu 65% yanaendeshwa ni kodi za wazanzibari kupitia TRA?

Dada yangu Si kisiwa kilichouziwa Bill Gates.
Hivi Sasa Kuna maeneo wameuzia wataliana , mswahili hairuhusiwi kwenda , labda wewe huko zenj umepelekwa ulaya kujiripua Na Hao wavamizi wazee wako kutoka Mkuranga
 
Back
Top Bottom