Zanzibar Kumpokea Sultan Jamshid: Ziara ya Kihistoria Baada ya Miaka 60 Uhamishoni

Kuna kitu hakipo sawa kwenye UBONGO wetu sisi watu weusi; hakipo sawa kabisa. Sasa ndio naelewa why mwarabu mmoja aliweza kuswaga watumwa zaidi ya 200 from Kigoma hadi Bagamoyo then Zanzibat bila wao kumpa kashkash
 
If this is true, Soon Zanzibar will be enslaved and in order to that, firstly, the Union must be liquidated.
Mark my words
 
It's shameful for someone like you to curse and condemn the revolutionary and panafricanist movements of our grandparents and praise these barbaric Omanis sultans who shouldn't even be permitted to enter our country.
 
It's shameful for someone like you to curse and condemn the revolutionary and panafricanist movements of our grandparents and praise these barbaric Omanis sultans who shouldn't even be permitted to enter our country.

ulienda shule kufanya nini mkuu? huyo hakuwa Omanis Sultan, alikuwa ni Zanzibaries Sultan
 
Halafu mkienda uarabuni wanawaona vingine tena..........huku wanaonekana waarabu kule wanaonekana waafrika tu...kazi ipo
 
Naona waarabu wa Zanzibar (bara la watu weusi) wanayo furaha kubwa sana kumkaribisha mkoloni wao na aliyewaketea dini.
Hatumae aliyewazalisha wapemba amekufa kabla wajukuu zake kumpokea jwa mara ya mwisho. Haya msiba upo Oman muende sasa kumzika babu yenu alwatan Bin Said.
 
Nani haja fanya Biashara ya utumwa nchi hii na nani kalipa?
Kwa kweli hayupo, machifu wengi wamewauza sana watanganyika wenzao.

Machifu wengi walikuwa wanawakamata watu wa makabila mengine na kuwauza utumwani Kwa waarabu.

Ukiwekwa hadharani unyama waliofanya baadhi ya machifu Kwa makabila mengine ni balaa tupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…