Mkamandume hujui?unyama upi? nyie na kafiri okello ndo mlimvamia kijambazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkamandume hujui?unyama upi? nyie na kafiri okello ndo mlimvamia kijambazi
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣😭🥳Kwenye mapokezi Sultan Mbowe, Sultan Lipumba na Sultan Cheyo wawepo 😂
Natamani kujua kiwnago chako cha elimu na status yako kiuchumi maana siyo kwa upuuzi huu wa kujivua nguo unaoandika hapa. Akili yako imekaa kitumwa na kamwe hutaweza kujisimamia.sultan ana kosa gani? je alishawahi kupigwa marufuku kukanyaga zanziber? ana jinai aliyoikimbia kwamba akifika atatiwa korokoroni? amekuwa akiishi nje ya nchi kama mkimbizi na uraia wake wa zanziber bado anao, ni sawa na lisu lema wenje walivyokuwa wakiishi uhamishoni walivyokumbuka nyumbani walirudi kama raia wa kawaida na viongozi wa taasisi zao
kwanza, we hanithi kweli kwahiyo utamfanya nini mama? uliambiwa ni sheha wa mtaa? tena ukome
badala ya kufanya personal attack, ungefafanua na kukanusha niliyoandika, nachojua sultani aliondoka mwenyewe kutokana na machafuko yaliyotokana na uchaguzi, hakupinduliwa.Natamani kujua kiwnago chako cha elimu na status yako kiuchumi maana siyo kwa upuuzi huu wa kujivua nguo unaoandika hapa. Akili yako imekaa kitumwa na kamwe hutaweza kujisimamia.
Katika bold italics, ndio ujue upumbavu wa waarabu.The former Sultan has absolutely no desire to return to Zanzibar where memories still linger of the atrocities committed by the murderous indigeneous mobs and outsiders.
To date the revolutionary government hasn't apologised to the families whom lost their loved ones on 12 January 1964. Instead the genocidal events are lavishly celebrated annually by the government of the Island of Zanzibar.
Justice will be served on Resurection Day and the perpetrators will receive their long overdue punishment for their role in the crimes against humanity.
P.
sultan ana kosa gani? je alishawahi kupigwa marufuku kukanyaga zanziber? ana jinai aliyoikimbia kwamba akifika atatiwa korokoroni? amekuwa akiishi nje ya nchi kama mkimbizi na uraia wake wa zanziber bado anao, ni sawa na lisu lema wenje walivyokuwa wakiishi uhamishoni walivyokumbuka nyumbani walirudi kama raia wa kawaida na viongozi wa taasisi zao
kwanza, we hanithi kweli kwahiyo utamfanya nini mama? uliambiwa ni sheha wa mtaa? tena ukome
Mganda John Okelo na wenzieAlipinduliwa na kina nani??
Akaribishwe noah na mvinyo kwenye hoteli ya kitaliiFamilia za Masultani Zanzibar zimesafirisha Waafrika zaidi ya milioni 20 kwenda Utumwani Uarabuni Persia na India, halafu ukijiuliza mbona leo Uarabuni waafrika sio wengi kama Amerika na Brazil kumbe walikuwa wakipondwa Korodani zao ili wasizae ili wafanye kazi tu.
Hiyu Sultani akitia mguu akamatwe angalao afie Gerezani.
Sisi Wananchi tutamshushia kipigo mpaka mababu zetu waliokufa wakiwa wamehasiwa huko uarabuni wafurahi.Akaribishwe noah na mvinyo kwenye hoteli ya kitalii
saudia ni jangwa walienda kufanyakazi gani? dont paint a white cat black na kumwita kimburu, watumwa hawakwenda uajemi, walipelekwa kwenye mashamba trinidad haiti tuvalu na florida,Familia za Masultani Zanzibar zimesafirisha Waafrika zaidi ya milioni 20 kwenda Utumwani Uarabuni Persia na India, halafu ukijiuliza mbona leo Uarabuni waafrika sio wengi kama Amerika na Brazil kumbe walikuwa wakipondwa Korodani zao ili wasizae ili wafanye kazi tu.
Huyu Sultani akitia mguu akamatwe angalao afie Gerezani.
umpige kwa kosa lipi?Sisi Wananchi tutamshushia kipigo mpaka mababu zetu waliokufa wakiwa wamehasiwa huko uarabuni wafurahi.
utawala wa sultan ndio uliokomesha utumwa ukishirikiana na serikali ya uiengereza, historia haionyeshi kuwa watumwa walipelekwa omanFamilia za Masultani Zanzibar zimesafirisha Waafrika zaidi ya milioni 20 kwenda Utumwani Uarabuni Persia na India, halafu ukijiuliza mbona leo Uarabuni waafrika sio wengi kama Amerika na Brazil kumbe walikuwa wakipondwa Korodani zao ili wasizae ili wafanye kazi tu.
Huyu Sultani akitia mguu akamatwe angalao afie Gerezani.
Mwingereza ndiye aliyekomesha Utumwa bila Mwingereza Mwarabu angeendelea na biashara hiyo mpaka kesho kiama.utawala wa sultan ndio uliokomesha utumwa ukishirikiana na serikali ya uiengereza, historia haionyeshi kuwa watumwa walipelekwa oman
Familia yao kuanzia Said Baraghash Said Said imefanya unyama sana dhidi ya Mwafrika.umpige kwa kosa lipi?
Baada ya kuvumbua mashine,na kuona sasa watumwa sio dili,,, hawakufanya hivyo sababu waliwahurumia sana watumwa ila ni maslahi,,,,,,na mwarabu angeendelea vipi na biashara ya utumwa wakati wanunuzi walishapata mbadala,,,,....utawala wa sultan ndio uliokomesha utumwa ukishirikiana na serikali ya uiengereza, historia haionyeshi kuwa watumwa walipelekwa oman
Mwarabu hajavumbua machine yeyote Mzungu ndiye aliyemuuzia.Baada ya kuvumbua mashine,
Nilimaanisha baada ya,wazungu kuingia kwenye mapinduzi ya viwanda walivyovumbua mashine ndo wakaanza kupiga kelele za kusitisha utumwa, na mwarabu alikua dalali kwahio biashara ikafa, wakaanza sasa kutengeneza soko la bidhaa zao zinazotengenezwa na hizo mashine,,,,,kwahio jamaa anavyosema walisitisha biashara ya utumwa, hawakufanya hivyo sababu waliwahurumia watumwa bali ni maslahi tuMwarabu hajavumbua machine yeyote Mzungu ndiye aliyemuuzia.