Zanzibar Kuna viwanja vya kisasa, Tanganyika hakuna viwanja

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,871
Reaction score
39,881
Pamoja na ushabiki wangu wa Yanga ila ningependa tukio la kihostoria la mechi ya Simba dhidi ya RS Berkane ingechezwa Tanganyika

Hii mechi ni kubwa na Watanganyika wangefurahi kuwa sehemu ya tukio hili la final ya shirikisho

Ajabu Zanzibar ambayo ni Taifa dogo Lina viwanja vya kisasa kama New Amaan complex na Gombani huko Pemba ambayo vina miundo mbinu ya kuondosha maji ya mvua na mashabiki kuwa salama, maana hawanyeshewi

Tanganyika tujitafakari wala tusipumbazwe eti tunahujumiwa na Morocco kama baadhi ya wachambuzi wajinga wanavowapumbaza Watanganyika
 
Huku kuna wataalamu wakutumia pesa, (tumbo acid), ili kuhalalisha matumizi ya mapesa hutujulisha nyuma ya mikamera kwamba watatumia bilioni 30............., Kumbe wana karabati matumbo yao
 
Ni huzuni
 
Inauma sana. Ccm mitano tena
Haaaaaaaah NO REFORMS NO ELECTION
OVA
 
Back
Top Bottom