Zanzibar kupo ovyo sana. Kweli au nahitaji kueleweshwa?

Tatizo ni moja tu ccm wanashindwa kujenga mji hela nyingi za mapato zinapigwa juu kwa juu.
ukweli usemwe tu kama kweli kuna jehhanam basi watakaoenda kuchomwa hawa jamaa wa katka maidara watu wanaiba askwambie mtu unashughudia watumishi wanapiga cha juu live
 
haelewi kuwa stone town hairuhusiwi kubadili chochote kile
 
Nipo huku, asemayo kweli! Wameridhika wenyewe!
 
Japokuwa sijawahi kufika Zanzibar ila pia sijawahi kabisa kuvutiwa na hicho kisiwa, Yani ni pa hovyo mno .. wamepita Marais wengi lakini hakuna kinachobadilika ..
Sijuh kw nini? Most of them are illiteracy .
 
Mahotel nakubali aisee, ogops sana!
 
Mporipori akifika Zanzibar, akaona hizi nyumba, anakwambia kumechoka

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…