Zanzibar kupo ovyo sana. Kweli au nahitaji kueleweshwa?

Bara, mji midogo midogo tu iko vzuri. Hasa kuhusu huduma za kijamii Kama, migahawa, na lodges. Huko bado Sana wapo tu. Sasa mtu Kama huna uwezo kwenda hizo five star ndio isipate pahala pa uwezo wako?
 
Mada za kuijadili Zanzibar zimekuwa nyingi tangu Mama Samia kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania eeh?

Badala ya kuleta mada zako za chuki siku tafuta hela ili siku nyengine ukija zanzibar ufikie walau Golden Tulip pale ule bata la mjini kabla kwenda Nungwi kuona watu wenye hela zao wanaishi vipi.

Tuachie na zanzibar yetu wenyewe tuna enjoy to the fullest.

Watanganyika wenzio ndio wanakopatia rizk zao huku wamehama makwao hawana hata hamu ya kurudi.

Wamekuwa wengi kiasi kwamba idadi yao nusu kwa nusu na wazawa wenyewe.
 
Kuna nini huko njaa tupu nimepoteza mda wangu bure huko hamna lolote na maushungi yenu
 
Zanzibar wanahitaji mabadiliko ya kifikra, hawajui maendeleo nini sehemu za makazi Yao hakuna tofauti na Keko, Buguruni, Manzese, Magomeni, huwezi kukuta mitaa angalau kidogo iliyopangika, hakuna
Well noted
 
Mada za kuijadili Zanzibar zimekuwa nyingi tangu Mama Samia kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania eeh?

Badala ya kuleta mada zako za chuki siku tafuta hela ili siku nyengine ukija zanzibar ufikie walau Golden Tulip pale ule bata la mjini kabla kwenda Nungwi kuona watu wenye hela zao wanaishi vipi.

Tuachie na zanzibar yetu wenyewe tuna enjoy to the fullest.

Watanganyika wenzio ndio wanakopatia rizk zao huku wamehama makwao hawana hata hamu ya kurudi.

Wamekuwa wengi kiasi kwamba idadi yao nusu kwa nusu na wazawa wenyewe.
Kosa wa Tanganyika kuwa zenji..mbona wazenji wamejaa Tanganyika na huoni tukilalamika.

#MaendeleoHayanaChama
 
Sio kosa mkuu.

Namjibu huyo anoikandia znz wkt wenzie ndio wanakopatia fursa huku.

Zanzibar ni njema atakae na aje.
 
Kuna nini huko njaa tupu nimepoteza mda wangu bure huko hamna lolote na maushungi yenu
Zanzibar kuna fursa nyingi za biashara mkuu.

Wauza vinyago stone Town na hotels za shamba ni from mainland.

Kuna Wauza vyombo, kuna washoni, kuna Wauza matunda, kuna wenye maduka ya nafaka, kuna Wauza magenge, kuna wanaofanya biashara za uwakala, kuna wanaofanya kazi hotels, kuna House girls na House Boys, (bado machangu) wengi tena wengi sana from mainland.

Wazanzibari wazawa wengi wapo nje ya nchi na wengine mnaiwaita wapemba wapo huko kwenu nao pia wa natafuta fursa ya maisha.

Njaa tupu inategemea wewe ulikuja kufanya nini mkuu
20211116_170805.jpg
 
Kuhusu misosi ipo mizuri tu,ukitoka bandalini,ukifika kwenye mataa,kata kulia ulizia jumba la trein,Kuna mgahawa mzuri tu,msosi wa nguvu,au ulizia ukumbi wa ccm,Kuna misosi mizuri sana kama Dar vile
ao wapishi wengi waliopo dar wanatoka visiwani ,,, na nlivyopeleleza migahawa mingi yenye wapishi wa kizanzibar tanganyika ndo inayopendwa
 
Kuhusu misosi ipo mizuri tu,ukitoka bandalini,ukifika kwenye mataa,kata kulia ulizia jumba la trein,Kuna mgahawa mzuri tu,msosi wa nguvu,au ulizia ukumbi wa ccm,Kuna misosi mizuri sana kama Dar vile
Au aje huku kwa bi janet
Wanyamwez weng tu.kwan ye alikua anataka sembe sio? Mapembe hauwez ?
 
Back
Top Bottom