Zanzibar kurudisha kiti chake cha UN baada ya Uchaguzi Mkuu - ACT Wazalendo

Shocker

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
2,175
Reaction score
4,181
Baada ya ushindi wa dhoruba unaoonekana bila ya chenga kuiangusha CCM, Maalim Seif Sharif amezidi kutoa matumaini ya uhakika kuwa kiti cha Umoja wa Mataifa cha Zanzibar kitahakikishwa kinarudishwa kama ilivyo katika mpira, maendeleo yameonekana ndani ya Afrika Masharikii, Zanzibar inatoa timu yake ya Taifa, iweje tusiwe na kiti UN? WaZanzibari jitayarisheni kurudi ndani ya UN.

Baada ya kusema Maalim atahakikisha hazina ya mafuta na gesi itaanza kufukuliwa ndani ya siku mia. Magufuli kasikika kuwaambia waZanzibari mafuta ni yao na wanahaki ya kuyafukua, nani atamuamini Magufuli, anarusha chambo kwa Wazanzibari.

Haya, kama anaweza kurusha chambo na arushe na hili la UN. CCM safari hii inaanguka sio chali ni kifudifudi.
 
Maalim seif alee wajukuu, mwinyi anaenda kufanya Zanzibar kuwa km Singapore
 
Hizo ahadi za Seif za miaka yote halafu watu wanamshangilia utafikiri ukiwa na kiti UN unalipwa pesa wakati wewe ndie unapeleka michango ya Uendeshaji UN!

Seif kiboko
 
Maalim akicheza vyema anatoboa uzeeni, ila asijitangaze rais. Jecha sio mtu mzuri.
 
Tanzania ni damu moja ndio maana tukaitwa muungano

Mwinyi ni kizazi cha baada ya muungano,

Kizazi cha kina Maalim seif kimebaki 20% tu
Huwa mnafikiria kwa kutumia kitu gani?!Unawabagua wazanzibari kwa vizazi vyao na unaona hiyo ni point ya kuandika hapa!
 
Baada ya ushindi wa dhoruba unaoonekana bila ya chenga kuiangusha CCM, Maalim Seif Sharif amezidi kutoa matumaini ya uhakika kuwa kiti cha Umoja wa Mataifa cha Zanzibar kitahakikishwa kinarudishwa kama ilivyo katika mpira, maendeleo yameonekana ndani ya Afrika Masharikii, Zanzibar inatoa timu yake ya Taifa, iweje tusiwe na kiti UN? WaZanzibari jitayarisheni kurudi ndani ya UN.

Baada ya kusema Maalim atahakikisha hazina ya mafuta na gesi itaanza kufukuliwa ndani ya siku mia. Magufuli kasikika kuwaambia waZanzibari mafuta ni yao na wanahaki ya kuyafukua, nani atamuamini Magufuli, anarusha chambo kwa Wazanzibari.

Haya, kama anaweza kurusha chambo na arushe na hili la UN. CCM safari hii inaanguka sio chali ni kifudifudi.
Maalim Seif anafahamu fika Zanzibar sio dola huru,anawalaghai tu wananchi.
 
Back
Top Bottom