Zanzibar kushusha mabasi ya umeme, gesi, Rais Mwinyi atoa tamko

Ally Kessy aliposemaga bungeni Zanzibar ni ndogo unaweza zunguka kwa baiskeli na ukipiga filimbi watu wote wanasikia. Kumbe alikuwaga muongo mzee Kessy.

Siasa hizi, sijui yupo wapi Ally Kessy mbunge wa Nkasi huko Sumbawanga.
Nakumbuka aliwaudhi sana wabunge wa Zenji ati anasema majimbo yao ni madogo sana ukisimama ukapiga filimbi Wananchi wote wanakusikia. Wakaungana wabunge wa vyama vyote kumletea noma na wakamwambia ukikanyaga Zanzibar lazima utage.
 
Nakumbuka aliwaudhi sana wabunge wa Zenji ati anasema majimbo yao ni madogo sana ukisimama ukapiga filimbi Wananchi wote wanakusikia. Wakaungana wabunge wa vyama vyote kumletea noma na wakamwambia ukikanyaga Zanzibar lazima utage.
Tatizo hatupendi kuambiwa ukweli
 
Hizi hamrere za uchaguzi tushazizoea ,tunataka tume huru ya uchaguzi. Aliekuwa hajui atabakia hajui na anaejua ndie ajuae.
CCM msiwafanye watu wapumbavu 2025 hapumbazwi ntu.
hakuna ahadi za uchaguzi wala sera, wanachotaka WATANZANIA walio wengi wawe wapemba au Machogo ni TUME HURU YA UCHAGUZI.
 
Ni habari njema. Tunasubiri kwa hamu.
 
Tunaitaji tume huru ya Uchaguzi,ila kwa ngonjera hizi ni kujinadi kiaina kwa ajili ya Uchaguzi 2025, Mwiny na Chifu Hakunaga,wapo katika kampeni kwa ajili ya 2025,tumeshawashtukia. Sijui tutafanya hiki sijui kile ,ni yale kwa yale maji ya futi kwa nyayo, Wekeni tume huru ya Uchaguzi kisha ndio mtapata wasikilizaji,
 
Kenya wanayo mabasi yanayotumia umeme pamoja na vituo vya kuchaji.
 
Umeme wetu uleeeee unaenda kuchezewaa
 
Uko Zanzibar hizo Daladala tu zinafanya kazi Kwa zamu, Unakuta Gali inaingia barabarani Mara 2 au 3 kwa wiki.
Hiyo ndicho dr. Mwinyi ameona kuwa kuna tatizo, na wewe mara mwisho kuja Unguja ni lini?.

Maana 20yrs ago ndipo ilikuwa gari zinapokezana tena ni kwa maeneo mfano Mbweni, Nungwi nk, ambako abilia ni wachache but siyo mfano, Fuoni, Mamngapwani, Dunga nk, for present days magari ni kama kule kwenu mbagara watu wanapandia dirishani.
 
Ally Kessy aliposemaga bungeni Zanzibar ni ndogo unaweza zunguka kwa baiskeli na ukipiga filimbi watu wote wanasikia. Kumbe alikuwaga muongo mzee Kessy.

Siasa hizi, sijui yupo wapi Ally Kessy mbunge wa Nkasi huko Sumbawanga.
Kuna ukweli fulani kwa Zanzibar wala hakuwa nahitaji lile baraza la mawaziri sijui na makamu wawili wa Rais nafasi za kula kisiasa tu. Nchi Rais tu anatosha na makatibu wa kuu basi pesa zingeenda kwenye maendeleo lakini wamejazana serikalini nchi yenyewe na bodaboda tu mchana umeimaliza. Najuwa wa zzzzzzzzzzz watakuja na matusi humu ila ndio ukweli huku Diwani kwao ndio Mbunge utakuta mbunge wa mtaa tu huku mwenyekiti wa nyumba kumi.
 
Huyu jamaa toka siku ya kwanza aliyotangazwa kuwa rais anapiga mdomo tu ukimuuliza nini umewajengea zanzibar atakwamba tumewaunganisha wazanzibari., hana jipya - muda utafika wazanzibar wataelewa siasa zake na watafanya maamuzi magumu
 
Umewahi kuishi Zanzibar mkuu? Mgao wa umeme huaga upo huku bara, sio kule. Remember sisi ndio tunawapa
WASWAHILI WALIVYO NA ROHO ZA KUTUUUUU!! HEEE!!...... WATAWAKATIA UMEME MAKSUDI TUU!!..... HATA KM AKIFUKUZWA KAZI NI SAWA TU ILI MARADI AHARIBU!!....

SI UNAMUONA JIWE ALIAMBIWA ATUBU!!!!!!!...... USIWAFANYIE WATU MBAYA ...... KWANI ALITUBU BASI.......MUULIZE YEYOTE HUMU JIWE HAKUTUBU PAMOJA NAKWENDA KANISANI KWA SANA!
 
Yaani sisi bara bana tunawapend sana zanzibar lkn zanz bar sasa sijui wanakula maharage ya wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…