Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 15,416
- 22,334
Je kutoka "makunduuchi" hadi "choo chema" kupitia "jambiani" itatumia muda ganiSafari ya kutoka "Mchamba Wima" kwenda "Mfereji Maringo" mtatumia siku tatu yakheeeeeeee!!!! [emoji38]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je kutoka "makunduuchi" hadi "choo chema" kupitia "jambiani" itatumia muda ganiSafari ya kutoka "Mchamba Wima" kwenda "Mfereji Maringo" mtatumia siku tatu yakheeeeeeee!!!! [emoji38]
Kwani Ally Kessy anasemajemji huu ni mkubwa, kuna maeneo mengi
Unaikumbuka Net group solution ya bwana Benyamini William Mkapa? Ilijaribu kukata umeme Zanzibar, waliondoka Tanzania. Tunawapenda sana Wazanzibari sisi, yaani tunawapenda mno.WASWAHILI WALIVYO NA ROHO ZA KUTUUUUU!! HEEE!!...... WATAWAKATIA UMEME MAKSUDI TUU!!..... HATA KM AKIFUKUZWA KAZI NI SAWA TU ILI MARADI AHARIBU!!....
SI UNAMUONA JIWE ALIAMBIWA ATUBU!!!!!!!...... USIWAFANYIE WATU MBAYA ...... KWANI ALITUBU BASI.......MUULIZE YEYOTE HUMU JIWE HAKUTUBU PAMOJA NAKWENDA KANISANI KWA SANA!