Zanzibar kuwa kitovu cha huduma za TEHAMA Afrika ya Mashariki

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
24,941
Reaction score
28,869

HUU NDIO MJI WA TEKNOLOJIA, VIWANGO VYA GOOGLE NA AMAZON VINAKUJA ZANZIBAR

Zanzibar kuwa kitovu cha tekinolojia za mawasiluano na habari - TEHAMA ukanda wa Afrika ya Mashariki kwa kutumia mifumo hiyo kuinua shughuli za kiuchumi, uzalishaji na usambazaji bidhaa pamoja na huduma.

Video:source: courtesy ya Millard Ayo
  • Availability of working space & accommodation at Fumba Town, a new modern eco-town located on 1.5km of seashore just 9km away from Abeid Amani Karume International Airport
  • Work visas for relocating tech workers
  • Zanzibar Free Economic Zone incentives including exemption from corporate tax for 10 years

“As one Africa’s largest tech companies, we are excited to serve as a founding partner for Silicon Zanzibar. After relocating to the island myself, I believe the potential for Zanzibar to become a leading hub for Pan-African tech companies is in no doubt.”​

Source : Silicon Zanzibar
 
Inataka kuwa kama Taiwan na biashara ya chip
 
Nawashauri bakini na uvuvi sijui utalii huo blue economy. Mambo ya teknolojia hamyawezi akili za uvivu. Na isitoshe space hiyo iko denominated na KE na RW
 
Zanzibar kubwa yaani ile dola ya Zanzibar iliyokuwa mpaka Mombasa, Lamu -Kenya , Somalia, Mozambique, Free Congo, Rwanda na Burundi inarudi kwa kasi kidigitali zama hizi za globalisation.

Soma hapa :

Dola kongwe ya Zanzibar kutoka Oman hadi Kongo​

Author:Hussein Bashir Abdallah
 
HUU NDIO MJI WA TEKNOLOJIA, VIWANGO VYA GOOGLE NA AMAZON VINAKUJA ZANZIBAR

Zanzibar kuwa kitovu cha tekinolojia za mawasiluano na habari - TEHAMA ukanda wa Afrika ya Mashariki kwa kutumia mifumo hiyo kuinua shughuli za kiuchumi, uzalishaji na usambazaji bidhaa pamoja na huduma.

Video:source: courtesy ya Millard Ayo
  • Availability of working space & accommodation at Fumba Town, a new modern eco-town located on 1.5km of seashore just 9km away from Abeid Amani Karume International Airport
  • Work visas for relocating tech workers
  • Zanzibar Free Economic Zone incentives including exemption from corporate tax for 10 years

“As one Africa’s largest tech companies, we are excited to serve as a founding partner for Silicon Zanzibar. After relocating to the island myself, I believe the potential for Zanzibar to become a leading hub for Pan-African tech companies is in no doubt.”​

Source : Silicon Zanzibar

Iwe kitovu cha TEHAMA na jiji Kama Nairobi nalo litakuwa vipi maana kampuni kama hizo makao makuu yapo huko
 
Nawashauri bakini na uvuvi sijui utalii huo blue economy. Mambo ya teknolojia hamyawezi akili za uvivu. Na isitoshe space hiyo iko denominated na KE na RW

Usiwe na wasiwasi, uchumi wa Zanzibar ukipanda na kuwa mzuri tutawapa kazi za ukuli na kufyatua matofali nyie ndugu zetu wa bara. Maana kila siku mnajivunia miguvu yenu.
 
Unaota sio
 
Uchumi gani Zanzibar iliyonayo zaidi ya watu kushindia boflo na kuendelea kuwa watumwa wa kiarabu! Nyerere alifanya makosa sana eti tembo waungane na sungura na malisho yao yawe ya uzito sawa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
HUU NDIO MJI WA TEKNOLOJIA, VIWANGO VYA GOOGLE NA AMAZON VINAKUJA ZANZIBAR

Zanzibar kuwa kitovu cha tekinolojia za mawasiluano na habari - TEHAMA ukanda wa Afrika ya Mashariki kwa kutumia mifumo hiyo kuinua shughuli za kiuchumi, uzalishaji na usambazaji bidhaa pamoja na huduma.

Video:source: courtesy ya Millard Ayo
  • Availability of working space & accommodation at Fumba Town, a new modern eco-town located on 1.5km of seashore just 9km away from Abeid Amani Karume International Airport
  • Work visas for relocating tech workers
  • Zanzibar Free Economic Zone incentives including exemption from corporate tax for 10 years

“As one Africa’s largest tech companies, we are excited to serve as a founding partner for Silicon Zanzibar. After relocating to the island myself, I believe the potential for Zanzibar to become a leading hub for Pan-African tech companies is in no doubt.”​

Source : Silicon Zanzibar

Habari nzuri hii
 
Ni masuala mazuri. Msamaha wa kodi kwa mwaka mzima si mchezo. Ingekuwa hivi kwenye viwanda vya nguo, ngozi nk, Tz ingekuwa production hub. Tatizo wakina Mwigulu wanawaza ni jinsi gani wawatoe wananchi senti na kwenda kujenga vitu vya kung'aa.
 
Kweli kabisa
 
Back
Top Bottom