Zanzibar kuwa ya kwanza kutumia bandari ya Lamu kupokeza/transhipment mizigo ya kwenda Ughaibuni

LOL Mbona hutaki kuelezea hiyo video uliodai ya transhipment from Zanzibar? Kwanza Zanzibar ina mzigo gani wa kubabaisha?

Yaani toka lamu imekua ndio meli ya 3?🤣🤣🤣🤣

White elephant is real
Mtwara meli zinapishana kama rally
 
Ulianza kwa kusema nikupe evidence. Nimekupa evidence kwamba meli hio imetoa mizigo Zanzibar.
 
Mtwara bandari ambayo imekuwa ikifanya kazi kwa zaidi ya miaka kumi ndio unataka kulinganisha na Lamu ambayo hata haijafanya kazi kwa miezi miwili? Desperation is real.
 
Shukuruni magu kafariki tumebaki na wapumbaavu la sivyo msinge tuweza kwa namna yoyote
Your browser is not able to display this video.
 
Mtwara bandari ambayo imekuwa ikifanya kazi kwa zaidi ya miaka kumi ndio unataka kulinganisha na Lamu ambayo hata haijafanya kazi kwa miezi miwili? Desperation is real.
Lamu inajengwa huu ni mwaka wa 15 and still is a white elephant
 
Traditional dance welcoming the ship MV spirit of Dubai
 
MV spirit of Dubai imewasili leo Lamu port kutokea Russia kuchukua transhipment cargo iliotokea Zanzibar ili kuipeleka Saudi Arabia. Mr Wivu, Naton Jr toa maoni yako



Cc Geza Ulole
Hii ngalawa ndio neo panamax? 🤣🤣🤣🤣

Unajua maana ya transhipment wewe?
 
Hii ngalawa ndio neo panamax? 🤣🤣🤣🤣

Unajua maana ya transhipment wewe?
Wacha ujinga. Kama hujui kitu nyamaza. Neno transhipment kwani unadhani lazima mtu awe na PhD ili alifahamu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…