Kwa vile tanganyika yenu mlikubali itolewe roho mbichi tena mchana kweupe kwa amri ya mtu mmoja usidhani na zanzibar itakubali mauaji hayo,zanzibar itabaki kuwa zanzibar ukipenda usipende,dhambi ya kiuwa tanganyika yenu itendelea kuwatafuna milele watanganyika.Kwani unguja sio zanzibar au?
Hakuna cha haki wala uzanzibari hapo Bali upemba na uoman tu,
Waambie hayo wale wasioelewa kiini, pia wewe tangu lini UKAWA ikawa zanzibar na sio monduli?
Bora ya kipandeNipo kipande?
Kwa vile tanganyika yenu mlikubali itolewe roho mbichi tena mchana kweupe kwa amri ya mtu mmoja usidhani na zanzibar itakubali mauaji hayo,zanzibar itabaki kuwa zanzibar ukipenda usipende,dhambi ya kiuwa tanganyika yenu itendelea kuwatafuna milele watanganyika.
Unatafuta kick na huna kazi masikini Mkubwa wewe unayenuka Lana...Hahaha unafurahisha vichaa wenzie
mimi sitafuti kick kama mlivyo nyie majuha
mnapongezana humu jf mnajiona vidume kumbe kundi la vibogoyo
Lolote la hovyo mkipost humu lazima tuwakemee kunguni nyie
Ukimuona poyoyo kama wewe anapongezwa na poyoyo mwenzie
ujue Mna laana na ningumu kupona
Kuotea nini kwani wewe si fukara? Au ushasahau tulivyojitolea ulipofyekwa mapanga?Hahaha polesana
sina haja ya kupigishana kelele na kichaa
anae kalili na kuotea upumbavu
Safi sana!! Hakuna marefu yasiyo na ncha!!
Mlijitolea!!!?Kuotea nini kwani wewe si fukara? Au ushasahau tulivyojitolea ulipofyekwa mapanga?
Laana sana wewe
Point of correction: CCM ya wakata maji Zanzibar ndio chanzo yanayotokea.CCM ndio chanzo cha yote yanayotokea kule ZANZIBAR ,...
Waendelee kuleta fyokofyoko watakiona
Watanganyika ndio mtaanza kubaguana,mnajijua mpo na makabila mangapi hapo tanganyika?Mpewe kisiwa chenu mbaguane
maana hamnafaida yoyote na Tanganyika
kwanza ni mzigo tu
Kizazi cha kupotea TanzaniaWewe ndo ujiulize nguvu unayotumia kuandika utumbo na Ku quote watu hovyo hovyo kila thread inakusaidia nini fukara wewe
Unakumbuka mwaka 95 tulivyowadumbuza habarini wengine wapo kenya mpaka leo hawajarudi sasa ile cha mtoto mwaka huu itakuwa zaidi ya hapo ingizeni mguu muone jpm ni zaidi ya mkapa.Hao watoto wa kiume watarudi tanganyika kwenye masanduku,mark my words.
Umekosa sababuWatanganyika ndio mtaanza kubaguana,mnajijua mpo na makabila mangapi hapo tanganyika?