Bobwe2
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 2,463
- 2,342
Kwa vile tanganyika yenu mlikubali itolewe roho mbichi tena mchana kweupe kwa amri ya mtu mmoja usidhani na zanzibar itakubali mauaji hayo,zanzibar itabaki kuwa zanzibar ukipenda usipende,dhambi ya kiuwa tanganyika yenu itendelea kuwatafuna milele watanganyika.Kwani unguja sio zanzibar au?
Hakuna cha haki wala uzanzibari hapo Bali upemba na uoman tu,
Waambie hayo wale wasioelewa kiini, pia wewe tangu lini UKAWA ikawa zanzibar na sio monduli?