Simiyu Yetu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 18,949
- 4,639
Hatuandiki mashairi hapa wala nyimbo za kwaya kwamba tunatafuta vina.Kwani hamuwezi kuandika sentensi bila ya kuinyongorota? "Hao wahuni"... halafu "mtaisoma namba" mbona inaleta mikingamo hadi sentensi inakosa muwala?
kina gogo la shamba tulishayasema hayo ubaya wa ccm na viongozi wa serikali hii badala ya kufanyia kazi mawazo yanayotolewa na wananchi wao wanawaandama wanaotoa mawazo,hapo utasikia wanafungia magazeti yanayohabarisha hizo habari badala ya kuangalia tatizoMaskan za ccm za chomwa moto kisiwa kidogo cha TUMBATU.
Chanzo: Muhusika aliyepo Zanzibar.
Iyo avatar mama you rock me like wagon wheel ( in Darius rucker's voice)Safi sana Wazanzibar kwa kuakikisha nchi yenu amuirudishi kwa waarabu tena. Mapambano yaendelee wazalendo tupo nyuma yenu.
Dahhh!hivi vitisho unadhani wazanzibar watarudi nyuma?safari hii kikinuka zanzibar na tanganyika haitobaki salama,mark my words.Unakumbuka mwaka 95 tulivyowadumbuza habarini wengine wapo kenya mpaka leo hawajarudi sasa ile cha mtoto mwaka huu itakuwa zaidi ya hapo ingizeni mguu muone jpm ni zaidi ya mkapa.
wanaleta figisu figisu watakiona cha moto hatujajipanga msimu huu kupokea wakimbizi wa ndani ya nchi mojaHata Somalia ilianza hivi hivi.
Tuilinde amani sio kuleta maneno ya kufarakanishaUnakumbuka mwaka 95 tulivyowadumbuza habarini wengine wapo kenya mpaka leo hawajarudi sasa ile cha mtoto mwaka huu itakuwa zaidi ya hapo ingizeni mguu muone jpm ni zaidi ya mkapa.
Ni ukosefu wa akili tena kwa watu wasiojitambua,unaombea machafuko wakati huohuo unaplan za kimaendeleo kibao..SHAME ON YOU.Mamuma munawaombea mabaya watanzania wenzetu!!
safiiiiiiMaskan za ccm za chomwa moto kisiwa kidogo cha TUMBATU.
Chanzo: Muhusika aliyepo Zanzibar.
Vikosi Vya SMZ Viko Wapi Au Ndio Wanasubiri MSAADA Toka BARA?
Alshabaab wamesemaje?Kikinuka Zanzibar jua na bara kitanuka washajipanga wale...... Ujaskia alshabaab.....acha nisiongee sana