Tetesi: Zanzibar Kwachafuka,..

Tetesi: Zanzibar Kwachafuka,..

Syria pia walianza hivi hivi.. acha sasa tujionee mauaji ya kimbari from Tz
 
Ukweli ambao ni mchungu sana kwa watu wengi, ni kwamba Zanzibar hayatatokea machafuko.. Kuna watu wengi wanaombea yatokee ili kuikomoa serikali ya CCM, lakini serikali imejipanga na inatumia uoga na utu wa Watanzania kama silaha... Uchaguzi utafanyika, CCM itashinda na watakaoleta fyokofyoko watakuwa contained mapema kabla hajaleta madhara.... Kwa hali ya kisiasa ilivyo Zanzibar mpaka sasa kila mtu ana mtu tayari.

Tutulie, tujenge nchi.... Katulizwa Lowasa na katulia.
 
diplomasia inaposhindwa nini kinafuata kama si vita na machafuko?

WACHA GAME IENDELEE

Uone yanapotokea kwa mataifa mengine viongozi wetu wa Tz hawaachi UNAFIKI wao kuishauri serikali za huko kuzungu na wapinzani wao. Lakini kwetu utaambiwa mapinduzi daima
 
Macho yote ya chama na serikali yapo Zanzibar... Leta fyokofyoko upotee.
 
Uchaguzi utapita na hali itakuwa shwari..nakumbuka utawala wa Salmin hali ilikuwa tete zaidi na yalipita
 
Zipigwe tu Nothing can be solved with fine speeches and resolutions but by blood and iron
 
Back
Top Bottom