Tetesi: Zanzibar Kwachafuka,..

Tetesi: Zanzibar Kwachafuka,..

mkuu, harakati za watu kama hawa baadae zinakuwa kama zile za wapalestna au alshabab. za kujitoa muhanga.

Ni kweli kabisa kwani kuna wakati unafika mtu anakuwa hana cha kupoteza katika dunia ..
 
Mi nachojua ni.kuwa hakuna marefu yasiyokuwa na ncha. Na kila kitu kina kinyume chake so kama kuna Amani jua vita ipo vilevile. Na usidhani kuwa Rwanda au Sierra Leone hawakumuomba MUngu Amani kabla hata hawajapigana No!! Na watz wanajionaga wao so special kwamba hivi vitu havuwezi kutokea but jua kila kitu kina mwanzo na mwisho
 
Bila ya kumtaja Lowassa huwa haishuki?

Mkuu ninachojaribu kuelezea hapa ni kuwa watu wengi wanajazana upepo hapa, lakini uhalisia ni kuwa hakuna vurugu itatokea Zanzibar....

Tujiandae tu kisaikolojia kuendelea kutawaliwa na CCM kwa mara nyingine tena.

Sometimes ukitulia unapunguza michubuko.
 
IMG_20160227_192644.jpg
 
Hata kansa huanza na kiupele then donda kubwa hatimae mauti....
 
aisee ipo siku watachoma ikulu hivi hakuna wakuwadhibiti?
 
civil disobidience ndo itakuwa style yetu. hatutakubali kama walivyokubali bara.
 
Hivi machafuko yakitokea na maisha na Mali za Watz yakawa mashakani tuwafanyeje wale waliokuwa na dhamana ya kuzuia hayo lakini hawakujali na wamedharau maonyo yaliyotolewa?
 
Safi sana Wazanzibar kwa kuakikisha nchi yenu amuirudishi kwa waarabu tena. Mapambano yaendelee wazalendo tupo nyuma yenu.
We ulie binafsisha Mali kwa makaburu umepata! Ila mwarab kakosea...nchi yawaarab ile nandowanayoitaka wamechoka kuburuzwa na fisiem
 
Safi sana!! Hakuna marefu yasiyo na ncha!!
Waendelee kuleta fyokofyoko watakiona
Haya wameshaanza hizo fyko fyko,nendeni mkawapige basi
kwa kweli wapigane tu
diplomasia inaposhindwa nini kinafuata kama si vita na machafuko?

WACHA GAME IENDELEE
Nyie chekeleeni tu...haya sio mambo ya kuchekelea wala kuchochea.
Madhara yake ni makubwa na athari zake ni nyingi.
Yatawafuata hadi bara mambo haya.
Na pakitifuka sidhani kama mtakuwa salama saana au na furaha mlizonazo sasa.
 
Maneno mengine utafikiria mtu anazungumza dhidi ya watu wa taifa jingine kabisa na wala siyo watanzania wenzake. Dhambi yao kubwa ni kuwa si wana CCM!
Hivi UKAWA mbona mnapenda sana kushabikia machafuko!?

Nyinyi si ndio mnajifanya wanyonge!!? Unadhani wataumia zaidi yenu nyinyi?
 
Hao wahuni watanyooshwa tu ngoja watoto wa kiume kesho waanze kuvuka maji waje mtaisoma namba.
 
Macho yote ya chama na serikali yapo Zanzibar... Leta fyokofyoko upotee.
Hizi sio lugha nzuri za kushabikiwa.

Zanzibar imepita katika misukosuko mikubwa kuliko huu. Huwatishi kwa maneno, wala huwatishwi kwa vitendo. Kashindwa Mreno anaetajika itakuwa vikorokombwe, wakata maji, wasiouweza kuwasha wala kuzima?
 
Back
Top Bottom