Sinoni
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 6,581
- 11,572
mkuu, harakati za watu kama hawa baadae zinakuwa kama zile za wapalestna au alshabab. za kujitoa muhanga.
Ni kweli kabisa kwani kuna wakati unafika mtu anakuwa hana cha kupoteza katika dunia ..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu, harakati za watu kama hawa baadae zinakuwa kama zile za wapalestna au alshabab. za kujitoa muhanga.
Bila ya kumtaja Lowassa huwa haishuki?
Sio kwa mwarabu.....atakustahiii....akikinukisha utakiona cha mtumeWaendelee kuleta fyokofyoko watakiona
We ulie binafsisha Mali kwa makaburu umepata! Ila mwarab kakosea...nchi yawaarab ile nandowanayoitaka wamechoka kuburuzwa na fisiemSafi sana Wazanzibar kwa kuakikisha nchi yenu amuirudishi kwa waarabu tena. Mapambano yaendelee wazalendo tupo nyuma yenu.
Yule akipigwa jua naww umeumiawanachokitafuta
na bado
Safi sana!! Hakuna marefu yasiyo na ncha!!
Waendelee kuleta fyokofyoko watakiona
Haya wameshaanza hizo fyko fyko,nendeni mkawapige basi
kwa kweli wapigane tu
Nyie chekeleeni tu...haya sio mambo ya kuchekelea wala kuchochea.diplomasia inaposhindwa nini kinafuata kama si vita na machafuko?
WACHA GAME IENDELEE
Iyo kauli usiitamke kwa mwarab utabak kiwiliwiliyeyote anayekaidi sheria au kuhatarisha amani na apigwe tu
Hivi UKAWA mbona mnapenda sana kushabikia machafuko!?Maneno mengine utafikiria mtu anazungumza dhidi ya watu wa taifa jingine kabisa na wala siyo watanzania wenzake. Dhambi yao kubwa ni kuwa si wana CCM!
Bora wachome tushaichoka hii (siri)kalisijui itakuwaje wakiendelea kuchoma ktk ofisi za jecha na baadae za smz...
Akili za bavichaSafi sana!! Hakuna marefu yasiyo na ncha!!
Hizi sio lugha nzuri za kushabikiwa.Macho yote ya chama na serikali yapo Zanzibar... Leta fyokofyoko upotee.