Lahaaulla.! Homa imewasili rasmi
Hiyo ni taarifa kutoka ACT- Wazalendo sasa ngoja niweke siti nikae hapa nisubirie na upande wa pili watasemaje.
Kiki nyingine bhana!!
Sheria ya Chattle au Tanzania?Nani kawaruhusu ACT kutangaza korona? Sheria hairuhusu
Regge music yeahNobody Can Stop Reggae.
Network ikamate mpaka huku bara kwa wale wakubwa zaidi. wasife ila wahenyeshwe tu mpaka waseme coona ipo kwelikweli
And where is our God?Nobody Can Stop Reggae.
Uko sahihiNani kawaruhusu ACT kutangaza korona? Sheria hairuhusu
Ukiwa kiongozi hakuna kuridhia sio issue ya family tena hata hao kina Trump na Borris walitangazwa tu na wengi hii sio aibu ila inaonesha uwajibikaji kama kiongozi. ukiwa raia wa kawaida sawa lakini public figure hakuna mambo ya family.Ndugu au jamaa wa karibu wa mgonjwa wanaweza kutoa taarifa ikiwa mgonjwa mwenyewe ameridhia
Nobody Can Stop Reggae.