Zanzibar: Makamu wa Kwanza wa Rais, Maalim Seif Sharif Hamad, Mkewe Bi Awena waambukizwa virusi vya Corona

Zanzibar: Makamu wa Kwanza wa Rais, Maalim Seif Sharif Hamad, Mkewe Bi Awena waambukizwa virusi vya Corona

Eti tumwombee apate nafuu !je nini kimefanyika kwa zile familia pale Pemba ambazo wapendwa wao waliuliwa na trigger happy cops chini ya amri za kidikteta?na mbaya zaidi wamesalitiwa wakati wao they payed the max penalty?to hell hata akifa kwa covid kwangu its ok.
 
Corona ipi, hii ambayo haipo, ipo chache au ?

Wizara ya Afya inasemaje ?
 
Ndugu au jamaa wa karibu wa mgonjwa wanaweza kutoa taarifa ikiwa mgonjwa mwenyewe ameridhia
Ukiwa kiongozi hakuna kuridhia sio issue ya family tena hata hao kina Trump na Borris walitangazwa tu na wengi hii sio aibu ila inaonesha uwajibikaji kama kiongozi. ukiwa raia wa kawaida sawa lakini public figure hakuna mambo ya family.
 
Back
Top Bottom