Hii habari iko tangu Ijumaa au mbege ndio imeachia kichwa chako muda huu!!
Duuuh reggae tena?Nobody Can Stop Reggae.
Kwa sasa habari ya mjini ni J J Mnyika yuko wapi?Kama kaiona leo asiseme au mbona hata wewe unaletaga habari zingine zilizopitwa na wakati.
Kumbe wewe ni satanthebaptist
ACT wamepeleka Corona feki serikali ya umoja wa kitaifa ili kuchafua Zanzibar makamu wa raisi mwenye ulinzi kila kona Corona aitoe wapi?Acha ubwege wako. Kama mgonjwa mwenyewe Maalimu ndio kasema?
Acha ubwege wako. Kama mgonjwa mwenyewe Maalimu ndio kasema?ACT wazalendo ni madaktari? Ugonjwa ni siri kati ya mgonjwa na daktari
Ulinzi wa Seif na Trump na Boris Jonhson upi ni mkubwa? Ila wewe jamaa nadhani ni comedian la sivyo una mtindio wa ubongo.ACT wamepeleka Corona feki serikali ya umoja wa kitaifa ili kuchafua Zanzibar makamu wa raisi mwenye ulinzi kila kona Corona aitoe wapi?
Kabisa kakaAtakuwa katumwa na mabeberu, Tanzania hatuna Coronaa.Inhiiiiii!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Nobody Can Stop Reggae.
Is this where we at?Ni kama Zenji wanataka kurudi kwenye masharti ya WHO. Seif ni stunt tu ya Dr. Mwinyi
Subiri kesho utamsikia akirizungumziaHiyo ni taarifa kutoka ACT- Wazalendo sasa ngoja niweke siti nikae hapa nisubirie na upande wa pili watasemaje.
Pumbafu ndo nini Wewe mjinga, Wewe unakumbushwa kuhusu ulichoandika kuwa kipo hapa toka ijumaa?Pumbaf,unanipangia niandike nini?
Isipomfyatua huyo mzee. Basi watanzania tuachane na hofu.
Huyu ni kama kipimo.
Maalim Seif apumzishwa baada ya kupata maambukizi ya kushindwa kupumua.
Barua rasmi ya ACT wazalendo hii hapa chini.View attachment 1690840