Zanzibar: Makamu wa Kwanza wa Rais, Maalim Seif Sharif Hamad, Mkewe Bi Awena waambukizwa virusi vya Corona

Zanzibar: Makamu wa Kwanza wa Rais, Maalim Seif Sharif Hamad, Mkewe Bi Awena waambukizwa virusi vya Corona

Akipona atoke front kuhamasisha matumizi ya barakoa na utaratibu wote wa kujikinga.
 
Acha ubwege wako. Kama mgonjwa mwenyewe Maalimu ndio kasema?
ACT wamepeleka Corona feki serikali ya umoja wa kitaifa ili kuchafua Zanzibar makamu wa raisi mwenye ulinzi kila kona Corona aitoe wapi?
 
Corona hii imetokea wapi? Jiwe si anasema Ts hakuna?

Acheni ubishi wabongo. Tutakufa mpaka tuishe.

Ubishi ka mavi ya ugali wa muhogo!
 
ACT wazalendo ni madaktari? Ugonjwa ni siri kati ya mgonjwa na daktari
Acha ubwege wako. Kama mgonjwa mwenyewe Maalimu ndio kasema?
ACT wamepeleka Corona feki serikali ya umoja wa kitaifa ili kuchafua Zanzibar makamu wa raisi mwenye ulinzi kila kona Corona aitoe wapi?
Ulinzi wa Seif na Trump na Boris Jonhson upi ni mkubwa? Ila wewe jamaa nadhani ni comedian la sivyo una mtindio wa ubongo.
 
Lini wizara ua afya wataactivate ECC na kuanza kutoa daily updates ya cases?
 
Napenda kufahamu, walitumia kipimo kipya au kile cha zamani kutambua kua ana korona.
 
Pumbaf,unanipangia niandike nini?
Pumbafu ndo nini Wewe mjinga, Wewe unakumbushwa kuhusu ulichoandika kuwa kipo hapa toka ijumaa?

Unaleta ujingaujinga hapa Wakati ugonjwa wenyewe ni mafua tu mnapiga keleele, Mimi mwenyewe tangu ijumaa ya wiki iliyopita nimekuwa na huyo korona na hata not nninapoandika sasa ni mzima wa Afya Tele

Piga nyungu tumia limao, tangawizi, swaumu na asali, hakuna ugonjwa wa kuagizia chanjo zenye mashaka na gharama zake ni 16000 kwamtu mmoja
 
Back
Top Bottom