cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
Yupo chumbani kwa mama yakoKwa sasa habari ya mjini ni J J Mnyika yuko wapi?
Hiyo haisaidii kumtenganisha na maalim Seif!Yupo chumbani kwa mama yako
Hapo Sasa Hivi Ndiyo Imeweka Gear Number 01.Corona imeanza kupamba moto
Kile cha kisasaNapenda kufahamu, walitumia kipimo kipya au kile cha zamani kutambua kua ana korona.
Tumeipenda Wenyewe Wala Hatukuandikiwa Barua Acha Ituue!!😶😶😑😑😐😐🤨😏😏🙄Pembe la ng'ombe halifichiki
Wametoa taarifa ya Mwenyekiti wa ACT Wazalendo TaifaYaani ACT ndio wanatoa taarifa za Makamu wa kwanza wa Rais ??
Huo ni ukiukwaji mkubwa wa protokali.
Nadhani wamesahau kuwa huyo ni Makamu wa Kwanza wa Rais,Wametoa taarifa ya Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Taifa
Wacha kumsingizia Mungu kwenye mambo yenu ya kipuuzi ya siasa. Corona ipo na km hakuna hatua za maana zitachukuliwa watanzania wataendelea KUFA siku hadi siku.Hivi 'incubation period' ya hii kitu ni siku ngapi 3 hadi wiki mbili?
Ile safari ilikuwa zaidi ya wiki mbili zilizopita?
Uzuri ni kwamba, huko kwingine watu huugua tu 'pneumonia'; hakuna kabisa mambo ya corona wala nini. Mungu wetu aliifuta kabisa corona.
Tena wanatolea Tanganyika!Yaani ACT ndio wanatoa taarifa za Makamu wa kwanza wa Rais ??
Huo ni ukiukwaji mkubwa wa protokali.
Usiogope kwani upimaji ni wa kawaida tu isipokuwa kama unataka kwenda China utapata kipimo kipya kupitia tundu la katikati ya matako!Hapo tu kwenye kupima virus vya Corona mi ndo nachoka kabisa afwadhali walivyokuwa wanapina awali hii ya Sasa hivi Ni shida tupu