Zanzibar: Makamu wa Kwanza wa Rais, Maalim Seif Sharif Hamad, Mkewe Bi Awena waambukizwa virusi vya Corona

Zanzibar: Makamu wa Kwanza wa Rais, Maalim Seif Sharif Hamad, Mkewe Bi Awena waambukizwa virusi vya Corona

Ugua pole Mzee

Mbona mtu kugua unaibeba kwenye ya Siasa!!!!! Mjitambue na kutenfa mengine.. Muendelee kusali na kutoogopa covid-19 mengi hadi muambiwe nini tena.. mpewe plan mufanyaje na familia zenu au.
 
Yaani ACT ndio wanatoa taarifa za Makamu wa kwanza wa Rais ??

Huo ni ukiukwaji mkubwa wa protokali.
 
Ndio maanaaa zanzibar hatuta ipa uhuru kamili, wana tumiwa sana na warabuuu kutuchafua [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hivi 'incubation period' ya hii kitu ni siku ngapi 3 hadi wiki mbili?

Ile safari ilikuwa zaidi ya wiki mbili zilizopita?

Uzuri ni kwamba, huko kwingine watu huugua tu 'pneumonia'; hakuna kabisa mambo ya corona wala nini. Mungu wetu aliifuta kabisa corona.
 
Wacha kumsingizia Mungu kwenye mambo yenu ya kipuuzi ya siasa. Corona ipo na km hakuna hatua za maana zitachukuliwa watanzania wataendelea KUFA siku hadi siku.

Wiki hii tu nimezika watu wangu wa karibu wanne na wengine wa mbali 6 kwa Corona. Endeleeni kutania. Makaburi bado hayajajaa . Puuzeni huu ugonjwa, ubadilisheni majina.

Toeni vitisho Leteni Jokes lkn Kifo ndio msema kweli.
 
Hapo tu kwenye kupima virus vya Corona mi ndo nachoka kabisa afwadhali walivyokuwa wanapina awali hii ya Sasa hivi Ni shida tupu
 
Wazee waliaswa wasitembee wajifungie majumbani hali ya hewa imechafuka.

Ziara ziara na ziraili yuko ziarani
 
Hapo tu kwenye kupima virus vya Corona mi ndo nachoka kabisa afwadhali walivyokuwa wanapina awali hii ya Sasa hivi Ni shida tupu
Usiogope kwani upimaji ni wa kawaida tu isipokuwa kama unataka kwenda China utapata kipimo kipya kupitia tundu la katikati ya matako!
 
Back
Top Bottom