KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Cannot dispute that!It doesn't have to be about God, but some have called this potentate a God of Tanzania.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cannot dispute that!It doesn't have to be about God, but some have called this potentate a God of Tanzania.
Now that is promoted to blasphemy!Cannot dispute that!
Eeenh. (meya kulpa?) - God have merci upon me.Now that is promoted to blasphemy!
Hata Mimi nashangazwa sana na hilo,,Wewe peleka upumbavu wako huko! Kama kuna corona unataka sisi tufanyaje sasa?
Umeshaambiwa njia za kujikinga, fuata hizo, kama ni kujifungia ndani jifungie, kama ni kuvaa sana barakoa vaa.
Hizi kelele za hoo hawaemi kama corona ipo, mnataka awatangazie nani? Alafu iweje?
basi sawa.Huyo ni mfuasi wa CHADEMA hatutakii mema
Haya, umeridhika sasa? [emoji2369] Kauli hizi...duuhEti tumwombee apate nafuu !je nini kimefanyika kwa zile familia pale Pemba ambazo wapendwa wao waliuliwa na trigger happy cops chini ya amri za kidikteta?na mbaya zaidi wamesalitiwa wakati wao they payed the max penalty?to hell hata akifa kwa covid kwangu its ok.
Mkuu upo wapi nije kukuona na jambo na wewe 🤨🤨Binafsi siamini kama kifo chake ni corona tuu.
Naomba niishie hapo tafadhali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Niko stendi hapa [emoji23]Mkuu upo wapi nije kukuona na jambo na wewe [emoji2955][emoji2955]
Msimamo wangu ni ule ule ,usaliti mkubwa ulifanywa kwa wale wananchi who payed the max sentences,middle class wewe unaona wale waliopigwa live bullets na trigger happy policemen ni nyani isipokuwa huyu aliyekufa kwa covid 19 ndio wa kuzikwa kwa heshima na kuheshimiwa.Haya, umeridhika sasa?Kauli hizi...duuh![]()
Haya mkuuMsimamo wangu ni ule ule ,usaliti mkubwa ulifanywa kwa wale wananchi who payed the max sentences,middle class wewe unaona wale waliopigwa live bullets na trigger happy policemen ni nyani isipokuwa huyu aliyekufa kwa covid 19 ndio wa kuzikwa kwa heshima na kuheshimiwa.
Binafsi siamini kama kifo chake ni corona tuu.
Naomba niishie hapo tafadhali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiki ee? Haya sasa njoo hapa. Tatizo ninyi mbwa mkiambiwa ukweli huwa hamtakiKiki nyingine bhana!!