ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Kuanzisha shirika la ndege sio sawa na kuanzisha vikoba kama CDM vinavyoendeshwa Kwa tonetone.Mbona wamechelewa?
Bado hakikuwa kipaumbele chao, period lkn sio suala la uwezo, pesa ipo.Kuanzisha shirika la ndege sio sawa na kuanzisha vikoba kama CDM vinavyoendeshwa Kwa tonetone.
Hakuna cha msaada wa Egyptian Air hapo, ni pesa ya Tanganyika ndo itaingizwa hukoZanzibar Airline Mbioni Kuanzishwa.Egyptair Kusaidia
kumbe uchukuzi sio suala la muungano?
Lakini ndege za uchukuzi huwa zinapokelewa Zanzibarkumbe uchukuzi sio suala la muungano?
Pesa za watanganyika hizo, unafikiri kuuza Bandari, misitu, uwanja wa ndege lengo nini, kunyonya Tanganyika na kutajirisha kizimkazi. Watanganyika wanataka nchi yao
Sio la muungano.Kwani Muungano una maana gani, Au hili sio suala la Muungano?
Kwamba Zanzibar hawana pesa? Una ushahidi?Hakuna cha msaada wa Egyptian Air hapo, ni pesa ya Tanganyika ndo itaingizwa huko
🚮🚮🚮🚮Baada ya kuzichakaza ndege za Tanganyika sasa wanaanzisha zao, ambazo watanganyika hawatazigusa
Mkuu za Tanzania NI mbovu na zimeshafungiwaBaada ya kuzichakaza ndege za Tanganyika sasa wanaanzisha zao, ambazo watanganyika hawatazigusa
Tangu lini ndege za ATCL zikawa na routes Ulaya?Mkuu za Tanzania NI mbovu na zimeshafungiwa
Rip shujaa Magufuli ✔️😁Zanzibar iko katika mazungumzo na wawekezaji, ikiwa ni sehemu ya hatua zake za kuanzisha shirika la ndege la kitaifa. Mpango huu unaonekana kama hatua ya kimkakati ya kuboresha miundombinu ya usafiri wa anga na kukuza sekta ya utalii visiwani humo.
Akizungumza katika kikao cha Baraza la Wawakilishi kilichofanyika Chukwani, Naibu Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji, Mheshimiwa Nadir Abdulatif Yussuf, alieleza kuhusu maendeleo ya mpango huo siku ya Jumatatu.
Alibainisha kuwa serikali ipo kwenye mazungumzo na kampuni ya ndege ya EgyptAir, ambapo tayari wamefikia makubaliano ya awali ya kuchunguza uwezekano wa kuanzisha shirika hilo la ndege.
“Majadiliano na EgyptAir bado yanaendelea, na tumeweka makubaliano ya awali kuhusu mfumo wa kuanzisha shirika la ndege la Zanzibar,” alisema Mheshimiwa Yussuf alipokuwa akijibu maswali ya wajumbe wa Baraza.
Kauli yake ilikuja baada ya Mwakilishi wa Mtambwe, Dkt. Mohamed Ali Suleiman, kuishauri serikali kuangalia kama huu ndio wakati muafaka wa kutekeleza mkakati wa muda mrefu wa kuanzisha shirika la ndege la kitaifa la Zanzibar.
NO REFORMS, NO ELECTION!Zanzibar iko katika mazungumzo na wawekezaji, ikiwa ni sehemu ya hatua zake za kuanzisha shirika la ndege la kitaifa. Mpango huu unaonekana kama hatua ya kimkakati ya kuboresha miundombinu ya usafiri wa anga na kukuza sekta ya utalii visiwani humo.