The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 8,698
- 17,114
Ndege za mama
Ndege za mama
Walikurupuka hawakuwa na business plan ,na sijuwi kama waliwahusisha wataalam wetu wa masuala ya ndege sana sana wanasiasa ndy wao wakawa ndiyo kila kituTangu lini ndege za ATCL zikawa na routes Ulaya?
Labda Ile ya mizigo.
Mwisho wakati mnanunua mitumba mlitegemea nini? Kuna kitu gani Cha maana nyie wadanganyika mnakiweza tofauti na mdomo?
Hatuna muungano kwenye jambo lolote, waende zao huko Zanzibar tubaki na mikokoteni yetu.Akili za hovyo za watu wa Bara 😆😆
Usafiri sio mambo ya Muungano
Ulaya ilishaga zuia ndege za Bongo kitambo sana Kwa sababu za usalama.Walikurupuka hawakuwa na business plan ,na sijuwi kama waliwahusisha wataalam wetu wa masuala ya ndege sana sana wanasiasa ndy wao wakawa ndiyo kila kitu
Ova
UlinziHatuna muungano kwenye jambo lolote, waende zao huko Zanzibar tubaki na mikokoteni yetu.
Unadhanibnani anahitaji ndege zao?
🚮🚮🚮No Reforms No Election si kauli ya kupinga uchaguzi kwa utashi wa kisiasa bali ni wito wa haki na demokrasia ya kweli. Tunadai marekebisho ya msingi katika mfumo wa uchaguzi ili kuhakikisha kila kura ina thamani, na matokeo yanayoakisi sauti ya wananchi
#NoReformsNoElection
Mijitu Mingi ya Bara hainaga akili sijui Kwa nini? 🤣🤣
Chogo wewe huna akili kazi kulamba mitako ya wafiraji na wauaji.Mijitu Mingi ya Bara hainaga akili sijui Kwa nini? 🤣🤣
kila kitu kina muda wakeMbona wamechelewa?
Mi niliishaamua siku nyingi, ufe kila mtu aishi kwao.Ulinzi
Mambo ya Ndani
Mambo ya Nje
Elimu ya Juu
Sarafu
Kwani umewahi sikia Kuna Mzanzibar anautaka huo Muungano? Kwanza mwenye shida na Muungano ni Bara sio Zanzibar Sasa Amueni hata Sasa
Mtawapigia magoti Wazanzibar kama mnavyowapigia magoti WaarabuMi niliishaamua siku nyingi, ufe kila mtu aishi kwao.
Muarabu gani kapigiwa magoti?Mtawapigia magoti Wazanzibar kama mnavyowapigia magoti Waarabu
Baada ya kuzichakaza ndege za Tanganyika sasa wanaanzisha zao, ambazo watanganyika hawatazigusa
na watatumia madege waliyonunua kwa pesa za bara. wala urojo hawa.Zanzibar iko katika mazungumzo na wawekezaji, ikiwa ni sehemu ya hatua zake za kuanzisha shirika la ndege la kitaifa. Mpango huu unaonekana kama hatua ya kimkakati ya kuboresha miundombinu ya usafiri wa anga na kukuza sekta ya utalii visiwani humo.
Akizungumza katika kikao cha Baraza la Wawakilishi kilichofanyika Chukwani, Naibu Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji, Mheshimiwa Nadir Abdulatif Yussuf, alieleza kuhusu maendeleo ya mpango huo siku ya Jumatatu.
Alibainisha kuwa serikali ipo kwenye mazungumzo na kampuni ya ndege ya EgyptAir, ambapo tayari wamefikia makubaliano ya awali ya kuchunguza uwezekano wa kuanzisha shirika hilo la ndege.
“Majadiliano na EgyptAir bado yanaendelea, na tumeweka makubaliano ya awali kuhusu mfumo wa kuanzisha shirika la ndege la Zanzibar,” alisema Mheshimiwa Yussuf alipokuwa akijibu maswali ya wajumbe wa Baraza.
Kauli yake ilikuja baada ya Mwakilishi wa Mtambwe, Dkt. Mohamed Ali Suleiman, kuishauri serikali kuangalia kama huu ndio wakati muafaka wa kutekeleza mkakati wa muda mrefu wa kuanzisha shirika la ndege la kitaifa la Zanzibar.
Nitajieni duniani nchi ambayo ina mashirika mawili ya ndege?Akili za hovyo za mijitu ya Bara 😆 😆
Jibu hoja, Zanzibar hawana pesa?