WajingaMjinga ni ignorant
Hata hapa Jf kuna kuignore 😂
NI KICHAA TU NDIYO ANAWEZA KUMWAMINI MWABUKUSI ALISEMA ANAENDA KWENYE KIKAO AKIRUDI MBEYA HAONDOKI MPAKA MDUDE APATIKANE NAONA MPAKA LEO BADO YUPO KWENYE KIKAO SIJUI WAPI HUKO NI MHUNI MMOJA TU YULE MWABUKUSI KISHAKULA VYA WATU LAZIMA AKAE KIMYAAAAAKama ni kweli mie nacheka nikimsikiaga Rais wa TLS jaman akiizungumzia Tanganyika
Welcome Air Zanzibari Bye bye Air Tanzania.
Dubai wana Emirates Air na Fly Dubai. UAE kama nchi wana Etihad Airways na hizo 2 za Dubai.Kama ni kweli mie nacheka nikimsikiaga Rais wa TLS jaman akiizungumzia Tanganyika
Welcome Air Zanzibari Bye bye Air Tanzania.
Hebu weka ushahidi wa nyaraka inayothibitisha tuhuma hiyo. Siyo manjiandikia tu mkivimbiwa makandeHuyu bibi anatuhujumu Tanganyika.mfano madini hayakuwa mambo ya muungano lakini alipoingia huyu bibi akasema iwe ya muungano wakati huohuo mafuta yaliyogunduliwa Zanzibar ni ya wazanzibari tu..Na kunatetesi makao makuu ya wizara ya madini yanahamishiwa zanzibar.halafu Kuna watanganyika vichaa wachache walichekelea eti mitano tena
Unauzwaje? Kwa ZNZ kuanzisha shirika lake? Acheni argument za kibwegeTISS wana angalia tukiuzwa, Toothless TISS ndege ya air tz ime pwakwa rangi kama walivyo paka rangi ma bus ya JWTZ
Kwa pesa gan walizo nazo msigwaUnauzwaje? Kwa ZNZ kuanzisha shirika lake? Acheni argument za kibwege