Bado hakikuwa kipaumbele chao, period lkn sio suala la uwezo, pesa ipo.
Zanzibar ni maskini kupindukia, ndiyo maana inashindwa kulipa madeni yake, kiasi cha kuitegemea Tanganyika iilipie. Tangu iungane na Tanganyika, Zanzibar haiwahi kulipa deni lake lolote. Zanzibar huwa inashindwa kulipia hata umeme wa TANESCO.
ZANZIBAR INAHUDUMIWA NA TANGANYIKA KAMA MTU MWENYE ULEMAVU MKUBWA.
Hata uanzishaji wa hilo shirika la ndege, Zanzibar inategemea mkopo utakaolipwa na Tanganyika.
Sasa hivi Zanibar inajengewa hospitali kubwa kwa gharama ya shilingi bilioni 400, mkopo uliochukuliwa na Tanganyika.