Zanzibar mbioni kuanzisha shirika lake la ndege ''Zanzibar Airline''

Zanzibar iko katika mazungumzo na wawekezaji, ikiwa ni sehemu ya hatua zake za kuanzisha shirika la ndege la kitaifa. Mpango huu unaonekana kama hatua ya kimkakati ya kuboresha miundombinu ya usafiri wa anga na kukuza sekta ya utalii visiwani humo.

Akizungumza katika kikao cha Baraza la Wawakilishi kilichofanyika Chukwani, Naibu Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji, Mheshimiwa Nadir Abdulatif Yussuf, alieleza kuhusu maendeleo ya mpango huo siku ya Jumatatu.

Alibainisha kuwa serikali ipo kwenye mazungumzo na kampuni ya ndege ya EgyptAir, ambapo tayari wamefikia makubaliano ya awali ya kuchunguza uwezekano wa kuanzisha shirika hilo la ndege.

“Majadiliano na EgyptAir bado yanaendelea, na tumeweka makubaliano ya awali kuhusu mfumo wa kuanzisha shirika la ndege la Zanzibar,” alisema Mheshimiwa Yussuf alipokuwa akijibu maswali ya wajumbe wa Baraza.

Kauli yake ilikuja baada ya Mwakilishi wa Mtambwe, Dkt. Mohamed Ali Suleiman, kuishauri serikali kuangalia kama huu ndio wakati muafaka wa kutekeleza mkakati wa muda mrefu wa kuanzisha shirika la ndege la kitaifa la Zanzibar.

View: https://www.instagram.com/p/DKuu_o1tuFY/?igsh=dnlxbWprNWptaXk4

Pesa za bara zinaenda kuwanunulia ndege. Na unakuta mafwala mna tetea huu wizi wa mali za Tanganyika
 
Tushapigwa; hamuwezi kuelewa maana akili yenu ni nzito!
 
Zanzibar iko katika mazungumzo na wawekezaji, ikiwa ni sehemu ya hatua zake za kuanzisha shirika la ndege la kitaifa. Mpango huu unaonekana kama hatua ya kimkakati ya kuboresha miundombinu ya usafiri wa anga na kukuza sekta ya utalii visiwani humo.

Akizungumza katika kikao cha Baraza la Wawakilishi kilichofanyika Chukwani, Naibu Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji, Mheshimiwa Nadir Abdulatif Yussuf, alieleza kuhusu maendeleo ya mpango huo siku ya Jumatatu.

Alibainisha kuwa serikali ipo kwenye mazungumzo na kampuni ya ndege ya EgyptAir, ambapo tayari wamefikia makubaliano ya awali ya kuchunguza uwezekano wa kuanzisha shirika hilo la ndege.

“Majadiliano na EgyptAir bado yanaendelea, na tumeweka makubaliano ya awali kuhusu mfumo wa kuanzisha shirika la ndege la Zanzibar,” alisema Mheshimiwa Yussuf alipokuwa akijibu maswali ya wajumbe wa Baraza.

Kauli yake ilikuja baada ya Mwakilishi wa Mtambwe, Dkt. Mohamed Ali Suleiman, kuishauri serikali kuangalia kama huu ndio wakati muafaka wa kutekeleza mkakati wa muda mrefu wa kuanzisha shirika la ndege la kitaifa la Zanzibar.

View: https://www.instagram.com/p/DKuu_o1tuFY/?igsh=dnlxbWprNWptaXk4

Na uhuru wenu mnatangaza lini?
 
Usenge
 
Kitambo sana Zanzibar ina Wanasiasa wa Ukweli siyo hawa akina Dr Msukuma wa Tanganyika

Zanzibar ina Wafanyabiashara wa Ukweli siyo hawa akina Mangi wa Tanganyika

Zanzibar ina Wasomi wazalendo wa Ukweli siyo hawa akina Tumbiri

Nimeongea na Mzee Mgaya anasema nje ya Muungano hii Zanzibar ingekuwa kama Qatar zama hizi

Tuwaache Zanzibar wasonge maana hata mechi za kimataifa Uwanja uko Zanzibar hapo utasema Wazanzibar wanajpendelea Makolo fc kucheza fainali CAF Unguja?

Bavicha bure kabisa 😁
 
Back
Top Bottom