Zanzibar mbioni kuanzisha shirika lake la ndege ''Zanzibar Airline''

Kimsingi kama sijakosea.. hata Rais hana Ndege.. sijui wanafkir kuendesha shirika la ndege ni rahisi kiasi hicho..

Ingawa Wazanzibar wana experience nzr sana ktk masuala ya uendeshaji ktk sekta ya Anga..

Unaweza fanya reference ktk mashirika binafsi..
 
Kwa pesa za Watanganyika. Tunaendelea kuliwa na Wazanzibari. Sijui 2030 itafika lini.
 
Kama Zanzibar Ina Dira yake ya Maendeleo 2050 itakosaje shirika la Ndege?
Una maana Dira ya Tanzania 2050 ni ya Tanganyika!!! kwanini isisemwe hivyo

Sina tatizo Zanzibar kuanzisha shirika la ndege. Hakuna Taasisi isiyo na mbadala Zanzibar

Ni kama vile Tanzania Maritime Organization na Zanzibar Maritime Organization. Meli zinabeba bendera ya Tanzania, zikikamatwa ni msala wa Tanzania na zinalipiwa ada kule IMO na Tanzania.
Usajili wa Meli zikiwemo haramu unafanywa Zanzibar na mapato yanabaki huko

Shirika la ndege litakuwa la Zanzibar, fees za IATA zitalipwa na Tanzania.
 
Na ndege zenyewe ni za Tanganyika.kitakachofanyika ni kuzichukua baadhi ya ndege zilizonunuliwa na kodi za watanganyika na kuzihamishia zanzibar.Moja wapo ya ndege ni dreamliner yetu.Samia ameamua kutufilisi kabisa watanganyika.
 
Una maana Dira ya Tanzania 2050 ni ya Tanganyika!!! kwanini isisemwe hivyo
Umefafanua vizuri sana, Ndugu. Nilipoona kuwa Zanzibar Ina Dira yake nikistuka sana. Nikujua kuwa kumbe nimerudi nyuma katika kufuatilia masuala ya kiraia Nchini. Sijui hii Dira ya Zanzibar ilizinduliwa lini? Sijabahatika kupata nakala yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…