Zanzibar: Mdau aiomba Serikali na Rais Mwinyi kupiga marufuku Bongo Fleva ambazo hazina maadili kuchezwa Zanzibar

Pengine ni mambo ya muungano
Ni assumption tu hiyo. Sasa hivi Marais wote ni Wazanzibari, Zanzibar sasa hvi inapendelewa to the maximum. Hivi ndege za ATC zipo wizara ya muungano? Mbona zinakabidhiwa Zanzibar wakati Wazanzibari hawana mchango wowote kwa ununuzi wa hizo ndege? Waache uvivu; wana uhuru uliopitiliza. Kwanza hebu ngoja kwanza, hivi ni muungano ndio umetaka bongo flavor isipigwe Zanzibar? Unataka kuupeleka utalii mbali zaidi halafu hutaki bongo flavor, stupid...., hivo vitu ni mapacha. Halafu nenda Zanzibar hata leo, lala hotel yoyote Unguja na viunga vyake, angalia idadi ya wafanyakazi wa Kizanzibari, hukuti hata 1, wote wametoka bara. Niliwahi kulala Waikiki hotel, nilimkuta mhudumu 1 wa Kizanzibari, alinishangaza. Baadae nilifanya nae mazungumzo kuhusu wao kutokupenda kufanya kazi hotelini, this is what he told me, "wengi wanasema, kufanya kazi hotelini kuna haribu desturi zetu" nikamuuliza, wewe vipi? This is what he told me again, "mimi nimesomea bara, hata jamaa zangu wananishangaa" nimelala hotel tofauti Unguja, ni huyo tu ndio alikua Mzanzibari, hadi kina dada wanaofanya usafi vyumbani, wote wanatoka bara, majority niliongea nao wanatokea Morogoro.
Sasa una jamii ya namna hiyo, ndio unambie eti muungano unaharibu biashara yao ya utalii? Nonsense
 
jamii ya kizanzibar kwa sasa

imesha haribika kwanza kabisa

kwao upatikanaji wa smartphone ni rahisi sana Wi-Fi kila mahali ,hayo mambo machafu wanayojifunza ni kutoka kwenye internet na sio bongofleva tu

pia kwa sasa utandawazi kila sehemu huwezi zuia jamii isiharibike kwa sasa
 
Hivi kiuhalisia zanzibar Ina usafi gani hata bila miziki ya b.fleva?? Au Kwa vile dhambi zao nyingine ambazo ni zito haswaaa hazionekani?? Au wanadhani hatuzijui

..marufuku ya Bongo fleva ni hatua ya kwanza ya Wazanzibari kujisafisha.
 
Kuna kawimbo nakasikiaga kanaimbwa.

Nipime homa Kama UTI au nipime damu mama malaria..

Mara nikasikia NIPITE KWA BIBI NYAU AU KWA MPALANGE...

Baadhi ya maneno nayo kumbuka ni hayo.

Kazi kwel kweli,

Nukuu ya baba wa taifa.
""UTII UKIZIDI SANAA HUZAA UOGA, UOGA UKIZIDI SANA HUZAA UNAFIKI NA KUJIPENDEKEZA NA MWISHO WAKE NI MAUTI""
 
Wafrika tuna shida sana
Wala issue sio Uafrica bro; hizi complications ni kwasababu wana ishi maisha ya bure, wana lelewa na bara hawa. Mfano serikali yao yote ingekua wao ndio wanaiendesha kwa pesa zao, bila shaka kiasi cha kodi wanacho Lipa kisingekua hivo; umeme wanalipiwa na bara, maji, elimu, ulinzi wa ndani na nje (police na jeshi) vyote ni kodi kutoka bara. Wakianza kujitegemea hawa hadi madangulo watafungua, sasa hivi tuishi nao tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…