Zanzibar: Midoli ya kutangazia nguo zisizo na stara yapigwa marufuku kuwekwa nje ya maduka

Zanzibar: Midoli ya kutangazia nguo zisizo na stara yapigwa marufuku kuwekwa nje ya maduka

Anzisheni mchakato wa kujitawala kwa 100%, na hivyo kuwa na nchi yenu kamili.
Yakiondoshwa majeshi na Usalama wa Taifa waliojaa kila mtaa hata hivyo hayo ndiyo yanayosemwa siku zote na vyama vya upinzani
 
Hawa jamaa wenye vichwa flat miaka siyo mingi watakuwa kama Al shabaab, au Boko haram! Maana wako dunia tofauti kabisa na sisi. Yaani midoli tu, wanapagawa!
Nawenyewa wanasema wabara machogo [emoji16][emoji38][emoji1]
 
Hiyo midoli ilikuwa inatamanisha sana! Unakuta mdoli wa kike umevaa bikini tako lote nje, mapaja yanaonekana. Bora waipige marufuku tu. Ila wanaweza kuivalisha hijabu na ushungu ikalipa tu. Chupi, bikini na brazia wanaozihitaji watazikuta ndani ya duka

You must be sick kutamani mdoli kisa umeveshwa bikini
 
View attachment 2518430
Mkuu wa Wilaya ya Mjini Magharibi Unguja, Rashid Simai Msaraka amepiga marufuku, Wafanyabiashara wa Wilaya hiyo kuweka midoli yenye nguo zisizo za staha nje ya maduka yao.

DC Msaraka ametoa kauli hiyo baada ya kukutana na Mfanyabiashara maeneo ya Kwahani Zanzibar akiwa ameweka midoli hiyo nje ya duka ikiwa imevalishwa nguo ambazo zinadaiwa kupotosha maadili ya Zanzibar hususan kwa Watoto pindi wanapoona midoli hiyo imevishwa nguo hizo

DC Msaraka ameiambia AyoTV kuwa maarufuku hiyo imetokana na Watoto na Vijana kuona vitu visivyo na staha na kupelekea kuvuraga akili za Vijana wa Zanzibar Hatuwakatazi kuwa na midoli hiyo wala hatuwakatazi kufanya biashara hizo ila biashara hizo zifanywe ndani na zisiwekwe nje, Mtu anayetaka kuvaa nguo hizo avae
mwenyewe anajua utaratibu gani wa kuzivaa na wapi azivae"

Chanzo: Millard Ayo


Pia soma
- Hii midoli ya fasheni kwenye maduka inayovalishwa nguo za ndani inavunja maadili
Taliban regime in Afghanistan is among of the most craziest regime in the world.
Zanzibar regime is about to approach the level of Taliban regime.
 
Back
Top Bottom