2019
JF-Expert Member
- Dec 31, 2018
- 3,232
- 4,927
Aliripoti mwandishi mmoja wa dw Rashidi Chilumba kwamba Zanzibar iwa miaka mitatu imebadilika sana, na kasi ni kubwa. Kiukweli hata ambao hatujafika huko tunaiona kwenye mitandao.
Mifano hai
Uwanja wa mpira wa Dodoma unaenda kama konokono na muundo wake si mzuri kama ule wa Zanzibar. Mpaka leo tunajenga viwanja vyenye runway ya kukimbilia riadha. Alipoulizwa Msigwa alijibu kwa level ya Tanzania hatuna uwezo wa kujenga kiwanja cha mpira pekee😂😂. Yani Tanganyika hatuna ila Zanzibar wana uwezo.
Kipande cha barabara kutoka Mbagala mpaka Kongowe mwaka mmoja naa umepita barabara ni kama mkandara hana hela katoa vifaa site. Km 3 hazifiki je ingekuwa kutoka Mbagala mpaka Mkuranga ingejengwa kwa miaka mingapi?
Zanzibar ambayo kila kitu inatoa huku inaweza vipi kwenda kasi kuliko huku ambayo ina kila kitu?