binafsi dont buy this zanzibar bashing kiihivyo na wala siamini kwamba hayao yanayoitwa maendeleo ya huko zanzibar ni kwa gharama ya bara, zanziabr wana mapato yao, wanakusanya kodi pia hivyo ni swala la leadership tu nafikiri zanzibar wana better leadership klk huku, hapo ndipo tatizo lilipo kwani hiyo miradi mingi huku bara fedha usikute zilishalipwa lkn hakuna msimamizi mhusika mkuui yuko msibani mwaka mzima uliona wapi dunia hii? i mean, hata huko afghanstan siajabu hakuna ujinga na incompetency kama inayoendelea tanzagiza ...