Android 00
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 774
- 224
Kwa kweli mm sielewi kabisa wazenji wanamaana gani wanavyodai Muungano wa Mkataba..... Pls anayefahamu vizuri anieleweshe kwa sababu ninavyoelewa mimi hata huu Muungano wa Serikali mbili uliopo ni Mkataba... Serikali tatu pia ni Mkataba, sasa wao Muungano wa Mkataba ndo ukoje...?? Inawezekana tumepanda bus mmoja lakini wengine hatuelewi tuneelekea wapi???
wazenji 66% Tanganyika 61%, hiyo 66% kwa Tanganyika sana ni kama 2%
Ndo hapo sasa hizo dharau za Kuanza kuwajudge wazanzibar kwa ukubwa wa nchi yao au wingi wao ndo shughuli inapoanzia..wacheni dharau na udogo wao bt still its a country...km ukubwa ilikua tatizo kwa nini hatukuungana na kenya tukachagua Zanzibar?
Na ukubwa wa nchi yenu na wingi wa watu mulionao bado mnashindwa kufikiri vitu vingi sana, sasa tunaona hata kenya, uganda, rwanda zinavowageuka kwa .
"Let znz go"