Android 00
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 774
- 224
Hapa tumeonesha ni jinsi gani sisi Waznz tuliowengi chaguo letu ni "mkataba" huu ambao unaweza kutuvuusha kwenye hii katiba mpya, nadhani hili kwa vingozi wetu wa serikali ya CCM wanaliona ni zito kutekelezeka kuliko serikali3 ambazo pia baadhi yao wanazipinga.
Tunaliomba bunge hili la katiba likae liangalie gharama hizi za uendeshaji wa seikali 3 na uendeshaji wa Muungano wa Mkataba ambao utakuwa unaheshimiwa na nchi zote 2.
Hili la mkataba si jambo geni kwa dunia hii kuliko hili la serikali 3 ambazo tunaona mizozo ipo kuanzia humu ndani ya hii Rasimu.