Zanzibar "Mkataba 66"

Zanzibar "Mkataba 66"

Android 00

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2013
Posts
774
Reaction score
224
Hapa tumeonesha ni jinsi gani sisi Waznz tuliowengi chaguo letu ni "mkataba" huu ambao unaweza kutuvuusha kwenye hii katiba mpya, nadhani hili kwa vingozi wetu wa serikali ya CCM wanaliona ni zito kutekelezeka kuliko serikali3 ambazo pia baadhi yao wanazipinga.

Tunaliomba bunge hili la katiba likae liangalie gharama hizi za uendeshaji wa seikali 3 na uendeshaji wa Muungano wa Mkataba ambao utakuwa unaheshimiwa na nchi zote 2.

Hili la mkataba si jambo geni kwa dunia hii kuliko hili la serikali 3 ambazo tunaona mizozo ipo kuanzia humu ndani ya hii Rasimu.
 
Kwa kweli mm sielewi kabisa wazenji wanamaana gani wanavyodai Muungano wa Mkataba..... Pls anayefahamu vizuri anieleweshe kwa sababu ninavyoelewa mimi hata huu Muungano wa Serikali mbili uliopo ni Mkataba... Serikali tatu pia ni Mkataba, sasa wao Muungano wa Mkataba ndo ukoje...?? Inawezekana tumepanda bus mmoja lakini wengine hatuelewi tuneelekea wapi???
 
Na wakumbuke ndani ya serikali tatu hakuna uraia wanchi 2 utakuwa mmoja tu wa tanzania sasa kama wewe na mzanzibar hautaki huo uraia wa moja tnz katafute wa kwako hukoo sudani.
 
Kwa kweli mm sielewi kabisa wazenji wanamaana gani wanavyodai Muungano wa Mkataba..... Pls anayefahamu vizuri anieleweshe kwa sababu ninavyoelewa mimi hata huu Muungano wa Serikali mbili uliopo ni Mkataba... Serikali tatu pia ni Mkataba, sasa wao Muungano wa Mkataba ndo ukoje...?? Inawezekana tumepanda bus mmoja lakini wengine hatuelewi tuneelekea wapi???

Hey! Muungano wa mkataba ni muungano wa muda maalum! Ikimanisha huo muda ukiisha mambo mawili yanafata:
1 kurenew mkataba!
2 kukataa kurenew, na hapo ndio mwisho wa Muungano!
...
Wazenj waliowengi hawataki muungano! But watanganyika wanaung'ang'ania!
Just jiulize Wazenji %66 wanataka wa mkataba, tanganyika %61 wanataka serikali tatu, kwani Warioba na wenzie waconclude kutakua na Serikali 3?
 
Tumechoshwa na nyinyi hatuutaki muungano tupeni wa mkataba ukimaliza tu kila mti nabao yake tumechoshw kutawaliwa na mloni muafrika
 
Wazenj ambao wengi ambao hawataki muungano ni wale wapenda vya bure wanachohisi muungano unawazuia wao kuendelea kwa misaada, waulizwe wazenj walio bara ambao wanaojua jinsi ya kutafuta watakuambia uboreshwe
 
Sikweli mim kichangan nipo bara na nipo vizuri alhamdulilah,wtt wangu wanasoma almuntazir,namiliki nyumba mbili tena moj ilo barabarani daladala zinapita nanna maduka
 
Wa Zanzibar wana mpango wa kuvunja muungano kwakuwa mkataba unaweza kuvunjwa wakati oote. nandicho wanacho kitaka. ndomana hata serikali imeficha hati za muungano
 
wazenji 66% Tanganyika 61%, hiyo 66% kwa Tanganyika sana ni kama 2%

Ndo hapo sasa hizo dharau za Kuanza kuwajudge wazanzibar kwa ukubwa wa nchi yao au wingi wao ndo shughuli inapoanzia..wacheni dharau na udogo wao bt still its a country...km ukubwa ilikua tatizo kwa nini hatukuungana na kenya tukachagua Zanzibar?
 
Na ukubwa wa nchi yenu na wingi wa watu mulionao bado mnashindwa kufikiri vitu vingi sana, sasa tunaona hata kenya, uganda, rwanda zinavowageuka kwa .

"Let znz go"
 
Back
Top Bottom