Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 21,492
- 65,712
Ni kweli, huwa tunahisi kulipia bima ni kama kupoteza helaSuala ilo watanzania wengi tuko nyuma sana
Saivi tunalazimishwa kulipia bima kwa mujibu wa sheria, bila hivyo wengi hatupendi kukata bima