Zanzibar msiposimama imara kuendelea kulinda mila na tamaduni zenu, heshima yenu duniani itashuka

Zanzibar msiposimama imara kuendelea kulinda mila na tamaduni zenu, heshima yenu duniani itashuka

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Posts
16,950
Reaction score
13,527
Friends and Our Enemies,

Beautiful Islands Of Africa, Zanzibar...
Fahari pekee iliyobakia Africa na inayozidi kuwakilisha ubantu na TAMADUNI za heshima ni wewe Zanzibar.

Watu wengi wakitaka kujitambulisha Kwa wageni WASIO ifaham Tanzania basi utawaskia wakisema huko kuwaambia wageni kuwa Mimi ninatokea Tanzania ile Nchi ya Mlima Kilimanjaro na visiwa vya marashi ya Zanzibar...

Asitokee MTU kuwatisha na kuwadhihaki eti kisa tuh nyinyi mmeamua Kwa dhati na uzalendo kabisa kusimamia MILA na TAMADUNI ZENU.

Tokea zama na enzi Zanzibar imekuwa na utaratibu wa kuheshimu Imani za wananchi wake na za wageni mbalimbali wanaoingia ndani ya visiwa hivyo.

Wageni wanapokaribishwa Zanzibar siku zote hupewa sheria na taratibu za kuishi na wenyeji wa visiwa hivyo na bila kinyongo wageni hao wamekuwa wakizikubali na kuziheshimu, kiasi Cha kufikia kuishi na Kisha kutamani kurudi Tena na Tena ndani ya visiwa hivyo.

Wanaokwazika na TAMADUNI za Zanzibar kiasi Cha kufikia kuona kama ni kero kwao au wanatengwa basi siyo lazima Kwa wao kwenda,wabakie makwao ambako wao wanaona Wana uhuru wa kujiamulia kuishi Kwa namna wapendavyo wao.

ZANZIBAR, endelea kusimama IMARA pasipo na kutetereka.

Zanzibar, mmenikumbusha msimamo imara wa Qatar, ambapo walipoandaa world cup finals na kuwakatalia wazungu kuwa wao hawakubali kuruhusu kampeni za LGBTQ katika finals hizo Kwa namna yoyote Ile.

Japo, wazungu walinuna wengine kutishia kutoshiriki lakini Qatar walisimamia msimamo wao na mashindano yaliendelea Kwa mafanikio makubwa yasiyo na kifani.

Hongera sana Zanzibar,Dumisheni Mila na Tamqduni zenu pasi na kuhofia kitu chochote.
 
Wanajishushia heshima wao wenyewe.
Nchi imekaa kama islamic himaya kula hadharani eti unatiwa kashkash.
Screenshot_20240404-221843.png
 
Kinachowasumbua hapo Visiwani ni elimu visoda kichwani nothing else!!!

Huko makabila mengi wanaishi huko na kila mmoja ana utamaduni wake vibaya kama kabila hili atenda kukaa kwenye baraza ya mpemba aanze kula huko ndiyo kuingilia utamaduni wa mwenzake siyo hiyo ya kuvamiana mabarabarani na sehemu za biashara za watu walizolipia kodi kwa kigezo cha kulinda utamaduni.
 
Kinachowasumbua huko ni elimu visoda kichwani!!!

Huko makabila mengi wanaishi huko na kila mmoja ana utamaduni wake vibaya kama kabila hili atenda kukaa kwenye baraza ya mpemba aanze kula huko ndiyo kuingilia utamaduni wa mwenzake siyo hiyo ya kuvamiana mabarabarani na sehemu za biashara za watu kwa kigezo cha kulinda utamaduni.
Hicho kisiwa ni kina watu wajinga na wavivu sn
 
Friends and Our Enemies,

Beautiful Islands Of Africa, Zanzibar...
Fahari pekee iliyobakia Africa na inayozidi kuwakalisha ubantu na TAMADUNI za heshima ni wewe Zanzibar.

Watu wengi wakitaka kujitambulisha Kwa wageni WASIO ifaham Tanzania basi utawaskia wakisema huko kuwaambia wageni kuwa Mimi ninatokea Tanzania ile Nchi ya Mlima Kilimanjaro na visiwa vya marashi ya Zanzibar...

Asitokee MTU kuwatisha na kuwadhihaki eti kisa tuh nyinyi mmeamua Kwa dhati na uzalendo kabisa kusimamia MILA na TAMADUNI ZENU.

Tokea zama na enzi Zanzibar imekuwa na utaratibu wa kuheshimu Imani za wananchi wake na za wageni mbalimbali wanaoingia ndani ya visiwa hivyo.

Wageni wanapokaribishwa Zanzibar siku zote hupewa sheria na taratibu za kuishi na wenyeji wa visiwa hivyo na bila kinyongo wageni hao wamekuwa wakizikubali na kuziheshimu, kiasi Cha kufikia kuishi na Kisha kutamani kurudi Tena na Tena ndani ya visiwa hivyo.

Wanaokwazika na TAMADUNI za Zanzibar kiasi Cha kufikia kuona kama ni kero kwao au wanatengwa basi siyo lazima Kwa wao kwenda,wabakie makwao ambako wao wanaona Wana uhuru wa kujiamulia kuishi Kwa namna wapendavyo wao.

ZANZIBAR, endelea kusimama IMARA pasipo na kutetereka.

Zanzibar, mmenikumbusha msimamo imara wa Qatar, ambapo walipoandaa world cup finals na kuwakatalia wazungu kuwa wao hawakubali kuruhusu kampeni za LGBTQ katika finals hizo Kwa namna yoyote Ile.

Japo, wazungu walinuna wengine kutishia kutoshiriki lakini Qatar walisimamia msimamo wao na mashindano yaliendelea Kwa mafanikio makubwa yasiyo na kifani.

Hongera sana Zanzibar,Dumisheni Mila na Tamqduni zenu pasi na kuhofia kitu chochote.
ACHA UCHOCHEZI
 
Mila za Zanzibar ziheshimiwe,asietaka kuziheshimu siyo lazima kwenda,bakia kwenu bara uishi Kwa uhuru unaoutaka
Hakuna kinachoitwa mila za Zanzibar sahihi sema hiyo ardhi inakaliwa na watu makabila mbalimbali wenye mila zao wanaopaswa kuheshimiana huwezi leo 21 century kuwataka watu waishi maisha ya kijima eti wafate mila za kipemba au sijui kiarabu,kwani hii jamii ina nini hasa kizuri cha kuigwa hata ilazimishe wengine kuifuata?

Kinachotakiwa hapo waambieni hao wapemba na wao waheshimu tamaduni za watu hiyo tamaduni yao siyo tamaduni smart kiasi kila mmoja alazimike kuifuata.
 
Nani kakatazwa kusherehekea pasaka,kwani pasaka Zanzibar zimeanza Leo?why tusiskie hayo Karne na Karne tuje tusikie Leo, Zanzibar imeshikilia msimamo wake na haitorudi nyuma,kama hutaki bakia kwenu.
Ondokeni na nyie kwetu, mnatulisha vibudu, eti mkristo asherekee Pasaka chumbani sababu ya ujinga wenu huko.
 
Wanaokwazika na TAMADUNI za Zanzibar kiasi Cha kufikia kuona kama ni kero kwao au wanatengwa basi siyo lazima Kwa wao kwenda,wabakie makwao ambako wao wanaona Wana uhuru wa kujiamulia kuishi Kwa namna wapendavyo wao.
Kinchi kisicho na chochote hiki kinachowategemea wageni (watalii) ndiyo unachotaka kiwagomee wageni??

Mashoga na mateja waliotapakaa kila kaya huko Zanzibar, ni shemu ya Mila na tamaduni? Mbona hatuawahi kuwasikia mkiendesha kampeni ya kuwachapa viboko mateja na mashoga?

Kilichofanyika Zanzibar ni ushenzi unaoweza kuzalisha magaidi wa kidini. Kwani wewe kama umefunga, anakukwaza nn ambaye anakula? Tanzania bara Kuna waislam wengi sana lkn hakuna ushetani huo. Acha mawazo ya kijinga kama haya.
 
Back
Top Bottom