Zanzibar msiposimama imara kuendelea kulinda mila na tamaduni zenu, heshima yenu duniani itashuka

Zanzibar msiposimama imara kuendelea kulinda mila na tamaduni zenu, heshima yenu duniani itashuka

Baada ya kuungana tumekubaliana Uhuru wa kuabudu na si kulazimishana.
Nani kanyimwa uhuru wa kuabudu Zanzibar, ingekuwa ni hivyo umaarufu huu wa Zanzibar kama ni sehemu karim Kwa wageni ungekuwapo?

Hizo ni chuki tuh za makafiri nyinyi wa huku bara.
 
Mila si sheria, ndio maana bara hawa wanyanyapai visiwani? Ndio kusema bara hawana mila no, ila wanajua mipaka between mila na sheria za nchi.

Mjifunze mila ni muhimu zibaki, lakini zina mipaka yake
Mila na sheria Zao ziko prescribed kwenye by laws,nenda Moshi katupe taka taka hovyo uone kama hujampelekwa mahakamani,msilazimishe Mila zenu Kwa miji ya watu.
 
Mpemba kavunja Mila na TAMADUNI zako zipi hapa bara?

Zanzibar ipo miaka na miaka,msitake kupeleka Mambo ambayo hata kwenye by laws Zao hayapo na mnajua,kama mmeshindwa kukaa huko huku kwenu bahari SI ipo na beaches SI zipo?

Acheni uchokozi.
Kuna niliposema mpemba amevunja tamaduni za mtu hapa bara?nimesema hakuna anayewabughudhi kwa sababu hawajawahi kumtaka mtu afate mila zao.

Nawasisitiza Jamiiforums pamoja na kuwa tumo humu kwa fake IDs isitufanye kufanya mijadala kuwa migumu kisa hatujuani ili kutambuana ufahamu wetu jinsi tulivyo na low IQ,unapaswa ujue hapo Zanzibar panaitwa Tanzania Visiwani kwa sababu ya muungano wake na Tanzania Bara na zilizoungana ni nchi na nchi zenye wananchi wenye mila na tamaduni tofauti tofauti hawakuungana watu kwa watu kwamba kwa sababu tumeungana wewe utalazimika kufuata tamaduni zangu.

Akenda leo Msukuma nyumba ya mpemba,mgunya au mkojani hapo Zanzibar akalazimisha kufanya mila na tamaduni za Kisukuma ndani ya nyumba zao huyo atakuwa amekosea anastahiki kuchukuliwa hatua lakini huyo huyo akiwa nje ya makazi ya watu tajwa hapo juu na akiwa hapo hapo Zanzibar akafanya tamaduni za Kisukuma aachwe maana atakuwa hajamvunjia mtu utamaduni wake.

Soma kuanzia hapa upate mwanga.
 
Labda kama hujaishi na kukaa ZANZIBAR.
Nimeisha sana Mji Mkongwe, Kojani na Mwembeladu. Naijua sana
Kila wkend tunaona boti Zinavyojaa Malaya kutoka sehemu mbali mbali bara kwenda kuwinda wazungu na wageni Zanzibar,Hilo kwani Lina Siri?SI lipo wazi tuh?
Ikiwa wanawataka Wazungu na Dollar zao utakwepaje huduma kama hizo?
Umalaya ni 'institution' kubwa na ya zamani katika Historia. Nitajie wapi hakuna Malaya duniani. eneo moja tu!

Boti zinajaa Wazanzibar, nusu yao wanaishi Bara!
Kampeni ya kuitaka kuichafua na kuua utamaduni wa wanzibar hazijaanza Leo,zimeanza muda mrefu tuh,na haya Sasa ni matokeo tuh,pamoja na nguvu kubwa kutumika ila Zanzibar imejitahidi sana kusimama IMARA,kwanini mnataka kulazimisha wafuate Mila zenu?
Hakuna kampeni ya aina yoyote, Wazanzibar ni wanadamu wana sifa zote za uanadamu!

Huwezi kuwa na utamaduni wa mwezi wa Ramadhani halafu umeweka mikono yako juu ya bikini ya Wazungu

Tatizo ni moja, kwamba ubaya wanatupiwa Watanganyika kwa chuki tu. Malaya wa Mombasa ni poa yule wa Dar ni 'haramu'. Wazungu wakila mchana poa, ngoja ale mtu wa Bara. Mkenya akinywa Pombe poa, shida ni Mtanganyika.

Sasa hivi ndio muda mzuri, wavunje Muungano! kinachowashinda nini?
 
Kuna niliposema mpemba amevunja tamaduni za mtu hapa bara?nimesema hakuna anayewabughudhi kwa sababu hawajawahi kumtaka mtu afate mila zao.

Nawasisitiza Jamiiforums pamoja na kuwa tumo humu kwa fake IDs isitufanye kufanya mijadala kuwa migumu kisa hatujuani ili kutambuana ufahamu wetu jinsi tulivyo na low IQ,unapaswa ujue hapo Zanzibar panaitwa Tanzania Visiwani kwa sababu ya muungano wake na Tanzania Bara na zilizoungana ni nchi na nchi zenye wananchi wenye mila na tamaduni tofauti tofauti hawakuungana watu kwa watu kwamba kwa sababu tumeungana wewe utalazimika kufuata tamaduni zangu.

Akenda leo Msukuma nyumba ya mpemba,mgunya au mkojani hapo Zanzibar akalazimisha kufanya mila na tamaduni za Kisukuma ndani ya nyumba zao huyo atakuwa amekosea anastahiki kuchukuliwa hatua lakini huyo huyo akiwa nje ya makazi ya watu tajwa hapo juu akafanya tamaduni za Kisukuma aachwe maana atakuwa hajamvunjia mtu utamaduni wake.

Soma kuanzia hapa upate mwanga.

Wewe ndie hueelewi na unataka kujifanya kuwa ni mwerevu kumbe ni mjinga.

ZANZIBAR kuungana na Tanganyika na kuitwa eti Tanzania visiwani siyo kigezo eti Mila na TAMADUNI za bara basi ziwe ni lazima huko Zanzibar.

Zanzibar ni nchi pia yenye Rais wake,bunge,mahakama zake na kadhalika, Zanzibar kama nchi Ina by laws zake ambazo wakazi wa hapo na wageni lazima kuzifuata, Zanzibar siyo mkoa wa Tanzania,ni nchi hiyo.

Besides, utamaduni huo Zanzibar upo tokea muda mrefu tuh,why tusiskie miaka yoote hiyo mje nyinyi kulalama Leo?

Kama mmeshindwa kukaa huko Zanzibar Rudini kwenu,siyo lazima.
 
Kulazimishana kufunga kwa Watu wasiotaka kufunga au ambao ni Waumini wa Dini tofauti na Islam.
Nani kalazimishwa kufunga?

Wakristo wako Zanzibar miaka na miaka umewahi skia wanatoa lawama kuwa wanaminywa uhuru wao wa kuabudu? that's why tunakuuliza iweje iwe ni Leo?
 
Mpemba akienda kwa watu anaheshimu mila na gesturing zao.wameenea kote duniani hujawahi kuskia wamegombana na wenyeji wao kwa kutaka kupeleka mila zao huko. Na ww ukija kwao heshimu gesturing zao.Hili ni suala rahisi sana ukiwa mtu unataka kuelewa. Lakini kama huelewi basi hatuna vya kukufanya uelewe na ukiforce ndio hapo utawaona watu wabaya kuwa wanalindq tamaduni zao. Na mm hapa wala sio mpemba lakini huo ndio ukweli watu wasijitoe fahamu
Hawagombani na watu kwa sababu wanakutana na watu understanding,usifikiri hawana madhaifu yao hao wanayo mengi sana ni kwa vile Watanzania huku bara hatujajifunga kwenye ”umimi” na ndiyo maana ni rahisi sana kuchangamana na kufanya mambo bila kufahamiana asili zetu,hili kwa wapemba halipo.

Na kwanini kwanza mnasema watu wanavunja tamaduni zenu?ni kwamba wanafanya ngono hadharani au ni hiyo kula mchana kweupe?tena wakiwa wanakula kwa hela zao na bila kumkaribisha mtu?
 
Wewe ndie hueelewi na unataka kujifanya kuwa ni mwerevu kumbe ni mjinga.

ZANZIBAR kuungana na Tanganyika na kuitwa eti Tanzania visiwani siyo kigezo eti Mila na TAMADUNI za bara basi ziwe ni lazima huko Zanzibar.

Zanzibar ni nchi pia yenye Rais wake,bunge,mahakama zake na kadhalika, Zanzibar kama nchi Ina by laws zake ambazo wakazi wa hapo na wageni lazima kuzifuata, Zanzibar siyo mkoa wa Tanzania,ni nchi hiyo.

Besides, utamaduni huo Zanzibar upo tokea muda mrefu tuh,why tusiskie miaka yoote hiyo mje nyinyi kulalama Leo?

Kama mmeshindwa kukaa huko Zanzibar Rudini kwenu,siyo lazima.
Wabara wakirudi kwao mtalishwa na nani nyie mapimbi? Asilimia kubwa ya bajeti ya kuendesha hicho kisiwa inatoka bara Kwa Hawa unaowaita makafiri mmekula mmeshiba Sasa mmevimbiwa subiri 25 tuwaondoe Hawa ndugu zenu wanaowaendekeza tutawalete mahita mwingine awanyooshe mpaka akili zenu zikae sawa nyie wapemba mrudi kwenu Oman mkalinde Mila zenu huko
 
Mambo mengi muda Mchache.

Ukiwa Zenji kipindi cha Mfungo hahaha unaisha kama Bundi.
 
ZANZIBAR kuungana na Tanganyika na kuitwa eti Tanzania visiwani siyo kigezo eti Mila na TAMADUNI za bara basi ziwe ni lazima huko Zanzibar.
Hakuna anayepeleka tamaduni kule, kipi ambacho Zanzibar wanacho , Bara hakipo!
Zanzibar ni nchi pia yenye Rais wake,bunge,mahakama zake na kadhalika, Zanzibar kama nchi Ina by laws zake ambazo wakazi wa hapo na wageni lazima kuzifuata, Zanzibar siyo mkoa wa Tanzania,ni nchi hiyo.
Nooo! Zanzibar ni mkoa mkubwa kwasababu unapata pesa nyingi za Tanganyika kuliko mkoa wowote.

Nionyeshe Bajeti ya Ulinzi na usalama! tuya Zanzibar!
Besides, utamaduni huo Zanzibar upo tokea muda mrefu tuh,why tusiskie miaka yoote hiyo mje nyinyi kulalama Leo?
Kama mmeshindwa kukaa huko Zanzibar Rudini kwenu,siyo lazima.
Kwanini Watanganyika na si watu wengine wa E.Africa kama Mombasa?
Ukitaka Watanganyika waondoke, unafungua' pandora box'. Nusu ya Zanzibar ipo Bara kumbuka
 
Sikatai na naunga mkono kabisa usimamizi wa sheria na taratibu zao.
Nisichokubaliana nacho ni Unafiki.

Kama makachu kachu ni Vijana wa Bara , waondoeni kama walivyowafurusha Wamasai
Tatizo sni Ubara, kule kwenye mahoteli Wakenya wamejaa na wanatenda yao ! hatusikii.

Yes, waweke sheria kama ile ya kuzuia ndizi za Tanganyika lakini za Mombasa ruksa. Walikuwa na haki nashangaa wameondoa. Unajua ni kwanini! Walionjeshwa adha ya ubaguzi wakaona itakula kwao.

Sheria ya Pombe wamelumbana wenyewe, hakuna Mtanganyika aliyewaingilia. Mwisho wamekubali Dollar inanunua Pombe. Wameachia.

Weka sheria , simamia sheria kwa ukamilifu si unafiki au kuwasingizia Wabara.

Utamaduni ni pamoja na kuzuia bikini na wale vijana wasibebe bikini madole yao! astaghafir

Nitajie eneo moja tu lisilo na Malaya hapa duniani halafu nitajua Zanzibar ipo salama bila Mtanganyika!
Ondoa chuki kwanza ndipo uwe free kujadili,bila hivyo mjadala wako utakuwa unageuka kuwa emotional badala ya kutumia facts.

Umalaya upo duniani miaka na miaka,hata mambo ya Sodomy yapo duniani zaidi ya miaka elfu kabla ya kuzaliwa kristo na Bado hadi Leo yanaendelea kiasi Cha kufikia hadi kiongozi wenu Mkuu Papa kutoa holy permit Kwa watu kuendelea na ndoa hizo .

Nachokueleza ni kwamba Zanzibar Ina by laws zake ambazo wakazi na wageni lazima wazifuate,na hizo by laws ziko prescribed na enforced pale zisipofuatwa.

Sasa huwezi kuwapangia wasitekeleze eti Kwa kuhofia watalaumiwa na wewe uliekwenda huko.

Hizo bikini unazosema kwani zimeanza lini?na unataka wafanyaje Nini Sasa,wachapwe viboko ndiyo uone kama juhudi hazifanyiki?

Wageni wanapofika wanaelezwa,na huwezi kutumia nguvu kwenye kila jambo, tambua ukweli na uukubali hata kama ni mchungu.
 
Hakuna anayepeleka tamaduni kule, kipi ambacho Zanzibar wanacho , Bara hakipo!

Nooo! Zanzibar ni mkoa mkubwa kwasababu unapata pesa nyingi za Tanganyika kuliko mkoa wowote.

Nionyeshe Bajeti ya Ulinzi na usalama! tuya Zanzibar!

Kwanini Watanganyika na si watu wengine wa E.Africa kama Mombasa?
Ukitaka Watanganyika waondoke, unafungua' pandora box'. Nusu ya Zanzibar ipo Bara kumbuka
Umesmkia mkenya,au mzungu,au mnyarwanda analalamika?

Nakuambia watanganyika Kwa kuwa waasisi wa hizo kelele ni nyinyi,na msingi mkubwa wa kelele zenu ni chuki tuh,hakuna kingine...

Zanzibar utaratibu huo hawajaanza Leo,sema kinachoonekana ni mazoea na generation change,kizazi Cha Sasa kinatakiwa kiambiwe ukweli wajue,hata hapo dsm nyinyi wengi wa kuja ndiyo mnaona ajabu haya mambo,ila miaka hiyo wakristo na waislam hapo dsm na mikoa mingine walikuwa wanakaa Kwa peace and harmony Tena bila kulazimishwa na yeyote yule,those days mfungo wa Ramadhan ukifika huoni bar zikifunguliwa,huoni kumbi za disco zikifunguliwa Wala live bands zozote.

Na Wala siyo kwamba hao watu walikuwa wanaambiwa na waislam eti kuwa wafunge hizo biashara Zao,ni wao wenyewe tuh utashi wao na Jin's walivyokawa wanaishi na wenzao wakaona tuh waache Kwa muda,Kwa hiyari Yao,mambo yanabadilika Jins Dunia inavyobadilika,Sasa hao wakiamua kumaintain utaratibu wao Kwa wengine nyinyi basi isiwe nongwa.
 
Yule anaetandikwa mijeredi kwasababu kalewa na kula.

Look... acheni kufanya Watu wajinga!
Una uhakika yule aliepigwa ni mkristo?

Wapi ilisemwa kuwa mkristo kapigwa,ile video Iko wazi kila MTU kaiona,tupe ushahidi kuwa yule ni mkristo, sababu hata waislam wapo wengine wengi tuh Ramadhan hawafungi vile vile, kwanini unatanguliza dhana na chuki?
 
Kuna vitu watu wanaandika utadhani hawakusoma topic ya human rights form two. Alafu unachanganya mila na imani. Mtu anaye shindwa kutambua mipaka ya imani yake huyo bado ni mjinga. Pengine mlipaswa kuishia kukataza watu wasile kwenye familia zenu sio ngazi ya kitaifa. Ngazi ya kitaifa unazungumzia watu wa koo tofauti tofauti na makabila tofauti tofauti.
 
Wabara wakirudi kwao mtalishwa na nani nyie mapimbi? Asilimia kubwa ya bajeti ya kuendesha hicho kisiwa inatoka bara Kwa Hawa unaowaita makafiri mmekula mmeshiba Sasa mmevimbiwa subiri 25 tuwaondoe Hawa ndugu zenu wanaowaendekeza tutawalete mahita mwingine awanyooshe mpaka akili zenu zikae sawa nyie wapemba mrudi kwenu Oman mkalinde Mila zenu huko
Mnawalisha bure au wananunua?

Zanzibar ni kisiwa, automatically ardhi Yao ya kilimo ni finyu,Sasa Cha ajabu hapo ni kipi?hiyo nayo ni hoja?

Eti watalishwa na nani,kwani mnawapa chakula bure?

Na why unazungumza as if umeambiwa hao wazanzibar ndie wameukumbatia huo muungano?au kwamba bila muungano hawataishi?mbona Kuna visiwa vingi tuh mfano Comoro hapo wanaishi na hawana muungano na nchi yyte ya bara?

Kitu kinachowasukuma makafiri wengi ni chuki tuh.,hakuna lolote la zaidi.
 
Wewe ndie hueelewi na unataka kujifanya kuwa ni mwerevu kumbe ni mjinga.

ZANZIBAR kuungana na Tanganyika na kuitwa eti Tanzania visiwani siyo kigezo eti Mila na TAMADUNI za bara basi ziwe ni lazima huko Zanzibar.

Zanzibar ni nchi pia yenye Rais wake,bunge,mahakama zake na kadhalika, Zanzibar kama nchi Ina by laws zake ambazo wakazi wa hapo na wageni lazima kuzifuata, Zanzibar siyo mkoa wa Tanzania,ni nchi hiyo.

Besides, utamaduni huo Zanzibar upo tokea muda mrefu tuh,why tusiskie miaka yoote hiyo mje nyinyi kulalama Leo?

Kama mmeshindwa kukaa huko Zanzibar Rudini kwenu,siyo lazima.
Humo nilimo-bold!

Ikiwa ninyi Zanzibar mnamo April 1964 mlikubali ndoa na Tanganyika lakini mpo hapa leo kulilia utamaduni wenu mimi na ninyi ni nani hayo maneno ktk bold kubwa yana-apply kwake?toka mmekubali kuungana na Tanganyika tamaduni zenu (well,sizijui exactly tamaduni zenu mnazozililia) zipo/zimebaki/zilibaki ndani ya nyumba za wapemba au yeyote mkazi hapo Zanzibar ambae kiasili ni Mtanzania bila kujali ni Msambaa,Mkurya Mmakonde au yeyote muhimu afanye kile kinaihusu asili yake bila kumuudhi mwenzake.

Hayo unayaona miaka hii kwa sababu jamii imeamka,jamii ya leo siyo ile ya 70s ya ndiyo mwenyekiti ndiyo mwenyekiti sisi wa leo tunataka fact na kwa msuguano huu na mingine itakayokuja ipo siku nduguzo boti hazitawatosha kuvuka maji kurudi hapo Kisiwani kiasi wengine watalazimika kupiga mbizi.
 
Back
Top Bottom